dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,907
- 8,246
zipo nyingi, lakini labda tuanze na hii, kwa nini wapandishe sana thamani ya ardhi katika eneo ambalo sio 'prime' kama kigamboni na kuperekea wale wenye ardhi kupata umiliki mkubwa wa mradi? na inasemekana hawakuwa na uwezo mpaka wakataka kukopa huko huko nssf mpaka the excellence presidaa alipomtengua jamaa ndo mkopo ukashindikana baada ya uongoz mpya kukataa.Nijibu hoja ipi...
Wewe unahis kuna hoja gan inayostahiki kujibiwa kwa mfano...