Wale haki za binadamu wange kusumbua KakaNimegundua binadam tuna tofautiana sana aiseeee......
Ingekua mimi ndie nimepewa mamlaka, huyo skopion angekua tayari amesha kua marehem...[emoji16]
Yaani huyo alipaswa akatwe sehem za makalio, kisha anapewa ugali na maharage kilasiku ale na ashibe. Baada ya hapo angekua kila akienda kujisaidia lazima atachuchumaa na hapo nyama ya makalioni itajivuta na kutonesha vidonda kila siku. Kwa adhabu hiyo angekua anavuja dam nyingi na kupata maumivu makali hadi pale kifo kingemkuta
Uki muangalia usoni haoneshi kujutia kabisaHe should not come back to the out society, for his safety and the society as well
Ndio Maana huwa siwa hamini Hawa Wanyanyua vyuma, Maboxer na wacheza kareti wa mitaani ambao ni jobless.Kyalow umenena sawasawa! Huyu hafai kurudi ktk jamii yetu ni muangamizaji wa kizazi hiki. Tena mtu km huyu apewe maiti zilizo kufa kwa kushambuliwa na kuumizwa akae nazo kwa siku tano mpk zimuozee halafu unampa siku za kutafakari. Jitu zima linatumia miguvu yake kijinga kabisa huyu apewe kazi ngumu na akae hukohuko hatimtaki uraiani lucifer huyo
SureNa huyu jamaa akipelekwa jela ataenda ku-shine kinoma. Kutakuwa hakuna wa kumgusa au kumfanyia bullying zilizozoeleka magerezani. Na lazima atapewa cheo cha unyapara. Huyu jamaa asingepewa chance ya kudakwa na polisi. Jungle justice should have prevailed!