sadam angekuwepo haya mauaji yasingekuwepo pia... wamarekani wenyewe ndo wamesababisha... kama libya tuu
Tumia akili wewe!
Iraq ilipaswa kuendelea kuwepo hata kama sadam hayupo, ilitakiwa wairaq
waoneshe ulimwengu kuwa wao ni taifa lenye mshikamano na sio taifa
linalotegemea mtu fulani ili liweze ku exist, na hiyo ndio weakness
ambayo it is costing them! Kuna watu walikuwa wanaamini kuwa Tanzania
bila Nyerere haiwezekani lakini hadi leo takriban miaka 14 baada ya
nyerere kufa bado Tanzania ipo! ni kwa sababu ya misingi imara
iliyojengwa chini ya uongozi wake, vivyo hivyo hata ccm ikiondoka bado
Tanzania itaendelea kuwepo sio kwamba eti bila ccm hakuna Tanzania hiyo
ni imani potofu.
Ina
maana hawa waislam wa Iraq wameshindwa kutambua kama
wamechonganishwa?
sadam angekuwepo haya mauaji yasingekuwepo pia... wamarekani wenyewe ndo wamesababisha... kama libya tuu
sadam angekuwepo haya mauaji yasingekuwepo pia... wamarekani wenyewe ndo wamesababisha... kama libya tuu
Wamarekani ndiyo wanaoleta ushetani wote duniani ili.
1. Wanatetea ushoga na kutaka nchi za africa tuhalalishe ushoga.
2.wanafadhili israel hela na silaha ili waendelee kuua innocent Palestines
3.wameleta machafuko kwa nchi zote za kiarabu
4.source ya magonjwa yasiyotibika kama aids na ebola.
Muafrika yoyote anayewasupport wazungu na wamarekani ni mpumbavu na hajielewi.