Scooter/ Batavuzi za Kizanzibar

MalumeNdago

Member
Jan 8, 2018
28
16
Habari wana jamii,

Natafuta scooter ama batavuzi kwa ajili ya biashara. Je, wapi naweza kupata kwa Dar ama kutoka Zanzibar? Mwenye mawasiliano naomba.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom