polite girl
Member
- Aug 17, 2013
- 33
- 5
Habari wadau naomba kama kuna mtu anafahamu hii organizations anifahamishe kama ina ukweli,
lakini jamaa mbona wanaonekana kama ni wa kimaukwelii? hapo vip hapo, rafiki yangu leo alikua amechanganyikiwa kabisa.. mshahara $1200 kwa mwezi su mchezo...hao ni matapeli dada,wamenitumia email niwawekee hela kwenye account yao ya kcb,waepuke sana
we kwani si uli apply au wamekutumia tu?.. maana leo asubuhi rafiki yangu pia wamemtumia email kama hiyo.....Mie mwenyewe walinitumia jana nikapata wasi wasi sana ndio maana nikajaribu kufatilia nisije nikalizwa
Hili shirika tafuta google,ngo list of kenya,tanzania even sudan huwezilipata sure hawa ni matapeli sio wa kuwatilia maanan
hao ni matapeli dada,wamenitumia email niwawekee hela kwenye account yao ya kcb,waepuke sana
Habari wadau naomba kama kuna mtu anafahamu hii organizations anifahamishe kama ina ukweli,
Mnataka kusaidiwa LAKINI mnaficha VITAL INFORMATION kama e-mail address iliyotuma huo ujumbe, Bank & A/C No. Sasa mtasaidiwa vipi? Kheri mngetapeliwa ndio mkatia akili kichwani BURE KABISA!