Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 720
- 1,210
Habari, hii kozi science and laboratory technology inahusiana na nini zaidi..nimeifatilia lakini napendelea maoni kutoka kwenu zaidi...na kwa kipindi hiki ina unafuu kidogo katika upande wa ajira ama nalo ni janga kitaifa?
Kwenye vyuo vya technology...MUST kama sikosei, DIT na ARUSHA tech...Ni course ya chuo gani?
Kwamba ni ngumu kupata ajira?Janga la dunia ilo
Kivip mkuu emu nenda direct kwenye pointJanga la dunia ilo
Unamaanisha nini mkuu..twende direct kwenye pointMwanakulitafuta Mwanakulipata
Nikiri tu siifahamu vizuri.Kwenye vyuo vya technology...MUST kama sikosei, DIT na ARUSHA tech...
Inapatikana pale SUA kiongoziNi course ya chuo gani?
Kwamba ni ngumu kupata ajira?
Ya SUA ni tofauti, inabase sana kwenye biotechnology na Laboratory science, ingawa ina cover plants lakini inafahamika zaidi upande wa animals and humans (veterinary na medical). Hiyo ya vyuo vya technologia ndio ambayo siifahamu vya kutosha.Inapatikana pale SUA kiongozi
Sasa hapo kilichofanyika ni kwamba katika vyuo vya Technology enyewe wamezigawa kama kozi mbili tofauti..yaani kuna Biotechnology inajitegemea na kuna Laboratory science.Ya SUA ni tofauti, inabase sana kwenye biotechnology na Laboratory science, ingawa ina cover plants lakini inafahamika zaidi upande wa animals and humans (veterinary na medical). Hiyo ya vyuo vya technologia ndio ambayo siifahamu vya kutosha.
Shukran mkuuAjira zipo mkuu, maabara za viwandani, shule za sekondari, vyuoni isipokuwa za afya, taasisi za utafiti, TFDA, GCLA, TPRI ni nyingi kwa kweli. Unaweza jiajiri pia.
Sua ni biotechnology and laboratory science.Inapatikana pale SUA kiongozi