Kwa wale waliomaliza chuo au form six wana matokeo mazuri kuna scholarship uwa zinatolewa na PSC hapa TZ kila mwaka mnaweza check nao. Au waweza mcontact huyu kwa maelezo zaidi jihao8009@gmail.com deadline ya kuapply imekaribia lakini.
Pia kuna hii scholarship mnaweza ipitia mkaapply