scholarship

stacygab

Member
Jan 12, 2019
16
4
hivi kwanini vijana wengi hatutumii hizi fursa za scholarship ili kujiendeleza kielimu,tunafeli wapi vijana? wengi wetu tuna mtizamo hasi kuhusu hizi nafasi za ufadhili. shida iko wapi
 
hivi kwanini vijana wengi hatutumii hizi fursa za scholarship ili kujiendeleza kielimu,tunafeli wapi vijana? wengi wetu tuna mtizamo hasi kuhusu hizi nafasi za ufadhili. shida iko wapi
ziko wapi hizo ? tuunganishe vijana wapo wengi sana wanazitafuka kufa na kupona
 
Tatizo mlolongo ni mrefu sana....sisi watoto wa masikini tutatoa wapi hela ya passport, cheti cha TOEFL n.k...tunapenda kusoma huko nje ila masharti magumu hatari kwa mlalahoi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli mtupu , wale jamaa they looking for those are very bright ,sisi wenye ufaulu wa kawaida tupambane tu humu humu hakna jinsi
 
Ndugu yangu ni shida sana..kmaa hujasoma shule za mtaala wa cambridge utasota sana, vyeti vya Eglish ni shida, GPA sasa looh, mara namba ya passport, work experiencd na referee statements....yaan mlolongo ni shida mwisho wa siku najiandaa kuoa tu sasa...
 
hivi kwanini vijana wengi hatutumii hizi fursa za scholarship ili kujiendeleza kielimu,tunafeli wapi vijana? wengi wetu tuna mtizamo hasi kuhusu hizi nafasi za ufadhili. shida iko wapi
1. Scholarships ni perishable opportunities, sio kitu cha kukaa muda mrefu nyingi zinakuwa within a short period of time

2. Scholarship zinahitaji uwe na admission mkono zaidi ya moja hivyo zikitokea tu una apply

3. Na kadhaalika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mlolongo ni mrefu sana....sisi watoto wa masikini tutatoa wapi hela ya passport, cheti cha TOEFL n.k...tunapenda kusoma huko nje ila masharti magumu hatari kwa mlalahoi

Sent using Jamii Forums mobile app
Cheti cha TOEFL sio lazima kama elimu yako umeipata kwa lugha ya kiingereza
Luna nchi ni rahisi sana kwenda kusoma na ada ni nafuu has a
Poland universities ada ni € 1200-4000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom