Hello,
Hope mnaendelea vyema, naomba kujua namna ya kutafuta au nitapataje scholarship nje ya nchi hii ya tz hasahasa nje ya Africa au hata ikiwa Africa yenyewe.
Plz, mwenye ujuzi naomba anisaidie. Nimehitimu bachelor ya education this year.