Scholarship kwa watanzania

habarini wana Uzi huu... kama nmechelewa ivi... iv bado zpo scholarship za undergraduate mpaka mda huu wadau? kama zpo naomba msaada wa Uzi tafadhali
 
Asante mleta Uzi ngoja nicheki kozi itakayo nifaa na pia kama itakuwa na mashariti rahisi zaidi. Ngoja nifungue hii ya Pakistani maana nikiona masomo yamenishinda nikavae bomu.

Nafasi hizo walizitoa lini
 
ni hattareee tamose watu hawajapelekwa mpk ss hv with no reason
 
Monash kimbembe kupata student ID number ili uweze kuapply!!
jamani wenzangu Mimi ndo niko form six hgl nataka nisomee law scholarship zinazonifaa zipo?? na hio ishu ya interview inakuaje au kufanyikaje? na ni vyuo vyote hufanya interview??
 
jamani wenzangu Mimi ndo niko form six hgl nataka nisomee law scholarship zinazonifaa zipo?? na hio ishu ya interview inakuaje au kufanyikaje? na ni vyuo vyote hufanya interview??

Scholarships zipo nyingi tu cha msingi faulu sana na lugha uwe vizuri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…