Norway walitoa EnPE/STATOIL na interview ilifanyika Dec.mkuu na Quota Scheme 2016/17 haitakuwepo walisema wanapitia terms.Mkuu vipi za norway,sweden,finland na danmark????
kuna jamaa yangu kapayta hiyo ya STATOIL,mkuu hizo za sweden wataachia lini?,piaNorway walitoa EnPE/STATOIL na interview ilifanyika Dec.mkuu na Quota Scheme 2016/17 haitakuwepo walisema wanapitia terms.
Sweden & Finland najaribu kuzisaka muda si mrefu ntaziweka hapa mkuu
Hizi za statoil bado hawajatoa majibu ya interview mkuu maana na mm nilifanyakuna jamaa yangu kapayta hiyo ya STATOIL,mkuu hizo za sweden wataachia lini?,pia
Mkuu kuna za UK pia walizotoa BG sijui kama umeziona?wadau zile za korea "KOREAN GOVERNMENT SCHOLARSHIP" mwisho tarehe 29/02/2016 changamukieni fursa.ila kwa bahati mbaya naona nao mwaka huu wamepeleka direct kwa wafanya kazi wa serikali
BG ndo za nchi gani mkuuMkuu kuna za UK pia walizotoa BG sijui kama umeziona?
Sawa mkuu zile za kusoma bachelor hasa radiology,ultrasound na imaging modalities zinngne zozoteSawa mkuu ntazipost hapa kesho
Sorry, ni kampuni ya BG Tanzania zinapeleka waTz 10 nchini Uingereza (UK) kila mwaka, zichek hapaBG ndo za nchi gani mkuu
Sweden hizi hapa mkuu: Guest researcher at NAI - The Nordic Africa InstituteMkuu vipi za norway,sweden,finland na danmark????
Mkuu jaribu kucheck hiziSawa mkuu zile za kusoma bachelor hasa radiology,ultrasound na imaging modalities zinngne zozote
Mkuu jaribu kucheck hizi
Undergraduate
International undergraduate scholarships - Study - University of Westminster, London
www.westminster.ac.uk/study/prospective-students/fees-and-funding/scholarships/january-2017-scholarship
Vice-Chancellor Scholarship - Study - University of Westminster, London
Denys Holland Undergradute
Scholarships
Monash International Merit Scholarship - Study Monash