Chiqa
Member
- Jul 19, 2017
- 80
- 172
Natanguliza shukrani jamani kwa yeyote mwenye taarifa ama msaada wowote ule utakaofanikisha mimi kupata scholarship ya kusoma nje ya africa. Nimesoma shahada ya elimu masomo ya sayansi na nina GPA nzuri sana, kuachilia mbali ugumu wa maisha ,ukosefu wa ajira na mitaji ya biashara nina ndoto ya kujiendeleza kimasomo nje ya africa tangu nikiwa teenager Now nahisi ndo wakati muafaka wa kuitimiza ndoto yangu ya siku nyingi.Najua hautafaidika na chochote na sina cha kukulipa ila ukiguswa na mwito huu tafadhali usisite kutoa msaada.Nawakilisha