Huu mgawo wa umeme ni mkakati wa watu kutafuta pesa kwa ajili ya kukidhi malengo yao ya kisiasa hasa kuelekea kwenye uchaguzi wa 2025 kwani wanakiri wazi kwamba kurudia ule uhuni alioufanya Magufuli kwenye uchaguzi uliopita ni kitu ambacho hakiwezekani tena hivyo wanaona waanze kujipanga mapema.
Mambo ya "Scheduled Maintenance" ni lugha za mbuni kuficha kichwa mchangani.