[emoji1] [emoji1] [emoji1] unalitaka nin ukhutyMmmmh scania
Nalipeleka wapi mie scania hilo[emoji1] [emoji1] [emoji1] unalitaka nin ukhuty
hapa unapata gari mbili kiongoziKwa hiyo bei si bora mtu anunue UK
G440 ya 2011 hadi hapa pamoja na. Trailer yake anapata kwa 110mil
unakutaga hawana gari, anatafuta mteja kwanza alafu ndio atafute gari, hapa hata wewe unaweza tafuta mteja wako,nimependa muuzaji umekuwa wazi zaidi, sio baadhi ya wauzaji wakikupa PICHA basi BEI hawatoi eti mpaka ukaione.....
Wakati hapa unatoa uwanja sasa wa mtu kufikiri namna ya kufanya
[emoji13] weka nyumban, kwan wanao nunua hua wanapeleka wapiNalipeleka wapi mie scania hilo
La nn sas nyumbani kwangu[emoji13] weka nyumban, kwan wanao nunua hua wanapeleka wapi