Spinster JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 487 Reaction score 138 Sep 24, 2013 #1 tunatoa huduma ya kusafirisha mizigo,ndan ya nchi na nchi jaran kama kenya, uganda, malawi, etc.....kwa anaehitaji ani pm..
tunatoa huduma ya kusafirisha mizigo,ndan ya nchi na nchi jaran kama kenya, uganda, malawi, etc.....kwa anaehitaji ani pm..
nurdi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 256 Reaction score 71 Sep 25, 2013 #2 Spinster said: tunatoa huduma ya kusafirisha mizigo,ndan ya nchi na nchi jaran kama kenya, uganda, malawi, etc.....kwa anaehitaji ani pm.. Click to expand... Ingekuwa vizuri kama ungetufafanulia kwa nini tuje kupata huduma kwako,je una insurance inayokava na mzigo pia
Spinster said: tunatoa huduma ya kusafirisha mizigo,ndan ya nchi na nchi jaran kama kenya, uganda, malawi, etc.....kwa anaehitaji ani pm.. Click to expand... Ingekuwa vizuri kama ungetufafanulia kwa nini tuje kupata huduma kwako,je una insurance inayokava na mzigo pia
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,613 Reaction score 28,664 Sep 25, 2013 #3 nurdi said: Ingekuwa vizuri kama ungetufafanulia kwa nini tuje kupata huduma kwako,je una insurance inayokava na mzigo pia Click to expand... Akili inachemka sana mkuu
nurdi said: Ingekuwa vizuri kama ungetufafanulia kwa nini tuje kupata huduma kwako,je una insurance inayokava na mzigo pia Click to expand... Akili inachemka sana mkuu
Spinster JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 487 Reaction score 138 Sep 26, 2013 Thread starter #4 nurdi said: Ingekuwa vizuri kama ungetufafanulia kwa nini tuje kupata huduma kwako,je una insurance inayokava na mzigo pia Click to expand... insurence ipo mpo mkuu,co tu kutokana na uzoefu wa kazi hii ya kusafirisha mizigo zaid ya miaka25, bali ikiwa mzigo wako umepotea kwa njia yyt mteja atalipwa mzigo wake. nadhan nimekujibu mkuu
nurdi said: Ingekuwa vizuri kama ungetufafanulia kwa nini tuje kupata huduma kwako,je una insurance inayokava na mzigo pia Click to expand... insurence ipo mpo mkuu,co tu kutokana na uzoefu wa kazi hii ya kusafirisha mizigo zaid ya miaka25, bali ikiwa mzigo wako umepotea kwa njia yyt mteja atalipwa mzigo wake. nadhan nimekujibu mkuu