Sababu zina diff moja. Bonge la mlori lakini mguu mwembamba (mmoja). Kuna zingine zinaitwa HADIJA KOPA. hizi ni zile zenye double diff lakini unakuta diff ziko mbali nyuma ya cabin. Hizi sanana ni scania 113. Ni hadija kopa sababu ikikwama kwenye tope au mchanga haiwezi kujinasua yenyewe, mpaka ivutwe.
Upo hapo? je unazijua Tandam? kwa nini zinaitwa vile?
unazifahamu Nyama choma?