Scania 124 vs R450

babuukikolo

Senior Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
146
Reaction score
166
Wakuu salama?. Naomba kuuliza mwenye uzoefu wa scania kwa mtu kumiliki
Najua 124 haina mambo mengi ila nataman kujua kama r450 au model nyingine itanifaa kwa kazi za kusafirisha mizigo
 
124 roho ya paka chuma ya kuanzia maisha ya biashara ya magari.

Kama unaanza biashara na huna uhakika wa mizigo basi anza na fuso.
 
Wakuu salama?. Naomba kuuliza mwenye uzoefu wa scania kwa mtu kumiliki
Najua 124 haina mambo mengi ila nataman kujua kama r450 au model nyingine itanifaa kwa kazi za kusafirisha mizigo
Kutoa wapi na kupeleka wapi?
 
Kama unaanza tumia 124
Haina purukushani nyingi kama hizi za kisasa kikubwa umpate suka muelewa.
Umesema sahihi kabisa asisahau na Service ni muhim sana kwa Scania.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…