Scania 124 engine 114 inauzwa

Scania 124 engine 114 inauzwa

Dalali wa Mjini

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2024
Posts
1,073
Reaction score
1,563
Scania 124 inaizwa pamoja na tela yake. Engine imefungwa mpya ya 114

Bei milion 65
Location Dar Es Salaam
Nipigie simu Kwa ukaguzi
📱 0754693556

IMG_20260225_204116.jpg
IMG_20260225_203939.jpg
IMG_20260225_203900.jpg
IMG_20260225_204038.jpg
 
Kuna mtu imeomtoa kamasi
Najua mikekemikeke ya kumiliki lori bongo
Unabeba mzigo halafu kulipwa hela yako unaanza kuibembeleza ulipwe, nikauzilia mbali
 
Kuna mtu imeomtoa kamasi
Najua mikekemikeke ya kumiliki lori bongo
Unabeba mzigo halafu kulipwa hela yako unaanza kuibembeleza ulipwe, nikauzilia mbali
Biashara ya maroli ni mapambano saana lakini kama utakuwa unafanya kwajili ya Kazi zako basi burudani kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom