SCAMMERS Vs BANK ACCOUNT! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SCAMMERS Vs BANK ACCOUNT!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by brobiz, Mar 3, 2012.

 1. brobiz

  brobiz JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Waungwana kuna jamaa nilipokea email yake kajitambulisha kama frenk adam kutoka burkinafaso anadai yy ni bank meneger na shida yake ilikuwa kutrassfer pesa kwenda kwenye account za nje,nilichat naye sana lkn ckuwah kbs kum2mia acc.nikiamin inawezekan ndo wanaitumia kukomba pesa zilizomo lkn kwa kigezo hicho kilichonitatiza ni kwamb mbona kuna acc.nying za benk hususan za taasisi mbalx2 zinakuwa public kwa nn hawa scammer waczi2mie kukomba pesa zilizomo?sasa hiv huyu jamaa kanitumia email nyingine anadai kafanikiwa kutransfer hizo pesa kwahiyo anahitaj detail zangu kam vile ful name,adress,telephon no,occapation,etc ili anitumie pesa ambazo yy anadai ni za compesation na nilichokifanya nimemtumia no.ya cm ili anitumie hizo pesa kwa njia ya WESTEN UNION nikiamin kwa njia hiyo hawezi kuniibia,tafadhal kwa yeyote anayefahamu atujuze yafuatayo:
  1.email wanatoa wap?
  2.tecnolojia gan wanatumia kukomba pesa kwenye acc?
   
 2. FuturePresident

  FuturePresident JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkubwa nikusaidei kidogo ni jinsi gani wanaweza kupata mail account za watu mimi sijui lakini....angalia hao wanakuibia bila ya wewe kujua usipokuwa makini ni wajanja sana...kwanza usitegemee kutumiwa hata senti 5...na kwa huo unjanja unasema umetumia ili akutumie fedha kwenye simu ...hatumi ng`o!!!! sasa ngoja nikueleze kwanini .Hawa jamaa wanawaibia watu bila kujua na inakuwa sio kiasi kikubwa sana kama wewe ni mtu mwenye tamaa ya kupata utajiri usio julikana kufumba na kufumbua, lakini ujue ndio jinsi wanavyowaibia watu.

  1. utajaza hizo form au chochote allicho kutumia
  2. Atakwambia yeye hana fedha mtumie kama USd 200 kwa mfano hivi kwa ajili ya kufanya process ya kutayarisha Document ili mpunga utoke afanye transfer....hizi ni chache anaweza kukwambia utume hata 1000$

  3. Ukifika wakati mwingine umeshatuma ile ya documents atakwambia nitumie nyingine kwa mfano kama 2000$ kwaajili ya Wakili au mwanasheria...na usifikirie haya yote mtakuwa mnafanya kwa mail tu.. na simu atakuwa anakupigia....sasa kwa mifano hii michache fanya kwa dunia inzima hii huyu jamaa anafanya kwa watu kama 200 hivi na wote mmeingia king mnatuma kila anachotaka ili upate utajiri wa haraka huyu jammaa ana kiasi gani!!!!

  ukijastuka umeshaliwa siku nyingi!!!

  Take care utaibiwa acha kabisa hiyo habari hakuna fedha ya bure kiasi hicho....:lol:
   
 3. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  wezi tu rafiki yangu mimi uwa sijihangaishi kujibu hata email za namna hiyo. Ukitaka kujua ukweli we chukua subject ya email aliyo kutumia ikiwa ya kwanza ipaste google kisha search utaona majibu yake watu waliosha tumiwa same mail
   
 4. brobiz

  brobiz JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  nashukuru xana kwa msaada wenu kwa sababu dakika kadhaa zilizopita nimepokea cm ya mdd mmoja anaejiita maria adam kutoka burkinafaso alichoniambia nifungue email coz kuna new email katuma nilipofungua nimekuta maelezo yanayonitaka nicontact na m2 mwingine ambaye kwa mujibu wa maelezo yake anadai yeye ni oficer wa westen union ofcoz nimem2mia email na lengo langu hasa nataka nione kikomo chao hawa jamaa ni wap!
   
 5. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Usisahau kuleta fidbak
   
Loading...