Amini usiamini, kuuamini huu msemo kumenisaidia sana [emoji1][emoji1]Ukiletewa fursa tambua kua wewe ndio fursa yenyewe.
Hawa jamaa nina hasira nao sana wapewe kesi ya uhujumu uchumi nawajua wanajifanya uplin wa kimataifaPole sana
Ukiletewa fursa tambua kua wewe ndio fursa yenyewe.
Wa kupewa kesi ya uhujumu uchumi ni wewe ulitamani pesa ya harakaharaka.Hawa jamaa nina hasira nao sana wapewe kesi ya uhujumu uchumi nawajua wanajifanya uplin wa kimataifa
Ni kama mr kuku hao na deci wanafanya upatu mi waliniiga back kweny miaka ya 2019 ila naona sasa zinakuwa kwa kasiWa kupewa kesi ya uhujumu uchumi ni wewe ulitamani pesa ya harakaharaka.
Hao walifanya kazi ya kukushawishi nawe ukiingia mzimamzima.
Jilaumu wewe mpenda mkato
ukiwa na tamaa lazima wakukamate.
Unapotapeliwa kizembe unatakiwa ujiulize kuwa hivi uko salama kichwani.?Ni kama mr kuku hao na deci wanafanya upatu mi waliniiga back kweny miaka ya 2019 ila naona sasa zinakuwa kwa kasi
Newbie wataingia kwa trap tu hali ngumu hapo target yao ni wanachuoUnapotapeliwa kizembe unatakiwa ujiulize kuwa hivi uko salama kichwani.?
Za mda huu wadau wajf
Ningependa kuwataarifu wale wasiojua kuhusu utapeli wa pyramid scheme huu mchezo unakuwa siku mpaka siku mpaka sasa wabongo ndo wanaanzisha wakishirikiana na wanigeria, wakenya hata wasouth africa hali ni ngumu
Point ni kwamba juzi kati wamekuja na fastincominvestment be alert on this ponzi scheme ,don't even try to get involved in a get rich-quick scheme
Na washiriki wakubwa ni wabongo maana kuna huduma ya kutoa na kuweka pesa kwa tigopesa na bitcoin baada kutapeli watu kwa BC INVESTMENT wamekuja upya
NB; mi ni muhanga wa inclusive forex & cryptos nina hasira nao baadhi ya wale upline washaanza kupromote kingine
View attachment 1674365

Kila utapeli kwa sasa unachangiwa na social media kusambaaNajiuliza matangazo yao uku insta why yanapromotiwa jamani izo bitcoin ni nyingi siku izi
Wanajifanya wanadeal na forex kupata faida kumbe hawatrade wala nn ni utapatuFOREX ilikuaje mkuu ???
Ila forex market really ipoKila utapeli kwa sasa unachangiwa na social media kusambaa
Bitcoin ni uwekezaji mzuri sana ni kati ya fursa ambazo roho inaniuma kwanini zilinipita nikiwa nashangaaNajiuliza matangazo yao uku insta why yanapromotiwa jamani izo bitcoin ni nyingi siku izi
Bora ungewkeza huko kuliko hayo mapyramid mi bitcoin kipind ipo kama million 23 nilidhani itadrop sana kwa kweli ila duh leo inaribia million 100Bitcoin ni uwekezaji mzuri sana ni kati ya fursa ambazo roho inaniuma kwanini zilinipita nikiwa nashangaa
Nunua satoshi kadhaa mkuu hii kitu ipo siku itangonga hata 200 milion maana juzi tu ilikuwa 53 milion jana nashangaa kuona imepanda tena nakumbuka wakati inaanza bitcoin moja haikuwa na thamani hata ya 1000 dahBora ungewkeza huko kuliko hayo mapyramid mi bitcoin kipind ipo kama million 23 nilidhani itadrop sana kwa kweli ila duh leo inaribia million 100