Kwangu mifano mizuri ni wework na snapdeal, hizi kampuni zote mbili zine fail kutokana na tooo much money from investors na management ku shidwa ku fanya allocation
Huwa nashauri hata hawa vijana wanakuja ku present idea zao kwamba sustainable growth ni more important kuliko rapidly growth, kuna mtu mwingine unamyima fund kwa sababu unaona huyu ukimpa ela baada ya 2yrs kampuni inakufa