SBT is the best of all Japan company, mm ni dealer wa hii kaz nimeshanunua over 60 cars from this company, cjawahi pata malalamiko toka kwa mteja, ninawasiliana na boss wao direct, achana na hao account manager wadogo

bosi wao ni nani?!! na kuwasiliana naye kunakusaidia vipi, au yeye ndiyo anaingia mnadani kununua, au diye anayekagua ubora, au ndiye serviceman, au?!!
Boss wao anaye control mauzo Africa nzima ni Maryjoy, anatoa discount amabazo sales manager wengine hawawez, if u r serious naaweza kuku connect # cyberteq