Sayari 4 Mstari Mmoja - Na Mwezi Unazikaribia Angani

Endeleeni tu kuangalia juu angani, karne hii kuna mengi sana mtayashuhudia huko angani, ombeni tu uzima kwa kipindi cha miaka 10 kuanzia sasa. Tunaoisoma Biblia tunajua nini kinafuatia baada ya ishara za angani kutimia zote.

Bado kuna ishara za ajabu zitatokea huko angani na kuwapoteza wengi sana.
 
IMG_7770.JPG
 
Ishara nzuri natumaini
 
Mchoro unaoonesha sayari zilivyo katika mizingo yake ili kuweza kuonekana katika mstari mmoja

Sayari zilivyo katika mizingo yake ili kuweza kuonekana katika mstari mmoja angani.png
 
Diagram to show the planets positions in their orbits so we see them lined up in the night sky.
Planets position for line-up in the sky=.png
 
Leo Mwezi uko jirani na Mstarii (Jupiter). Kuza sehemu ulipo Mwezi katika picha hii utaiona hiyo sayari

Zuhura (Venus) inangaa sehemu ya chini ya picha hii.

Angani nje Mirihi inan'gaa sana anga ya mashariki.

IMG_7777.JPG
IMG_7777.JPG
 
Endeleeni tu kuangalia juu angani, karne hii kuna mengi sana mtayashuhudia huko angani, ombeni tu uzima kwa kipindi cha miaka 10 kuanzia sasa. Tunaoisoma Biblia tunajua nini kinafuatia baada ya ishara za angani kutimia zote.

Bado kuna ishara za ajabu zitatokea huko angani na kuwapoteza wengi sana.
Walokole mna visa sana.
 
Leo Mwezi uko jirani na Mstarii (Jupiter). Kuza sehemu ulipo Mwezi katika picha hii utaiona hiyo sayari

Zuhura (Venus) inangaa sehemu ya chini ya picha hii.

Angani nje Mirihi inan'gaa sana anga ya mashariki.

View attachment 839490View attachment 839490
nikiangaliaga huo ueusi universe Mungu ni wakutukuzwa wee angaloa Jupiter ilivyo ndogo ndani ya universe na ndiyo ssyari kubwa.

Kuna mambo mengi sana hatuyajui. Yesu atapata wakati mgumu sana wa kujibu mtiririko na mfululizo wa maswali tutskapochaguliwa.

Cc: Freemason lililokubuhu Kiranga
 
Una nyege na mimi eeh?
 
hayo ni macho ya ya baadhi ya wale wazee 24 waliotajwa kwenye biblia wakiangalia kwa ukaribu kinachoendelea dunuani.
naota
hizi ngano bana sasa tutafanyaje ni imani. Ni kama wale malaika mbinguni wakati wa nuhu walikuwa wakiwapiga chabo mabinti wakioga. Wakashindwa kujizuia nakushuka chini na kutandaza miti na kuwazalisha mijitu mikubwa mionevu na mibabe. Mungu akamaindi akaamua kuleta gharika. Mwanzo nadhani
 
Nina shauku saana kujua with connection na Siku ya mwisho,ishara ,maajwbu nw mambo mangeni,mwenye kujua pls
 
Back
Top Bottom