idoyo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 3,051
- 1,423
jifunze kuandika! maskini, mpaka unatia huruma. keep on replying!!WEWE UMEKARIRI MADESA, HATA UNAPOONGEA KITU IQ HAUJUI MSINGI WAKE.HATUWEZI KU ARGUE NISHAKUSOMA UELEWA WAKO.POLE.
jifunze kuandika! maskini, mpaka unatia huruma. keep on replying!!WEWE UMEKARIRI MADESA, HATA UNAPOONGEA KITU IQ HAUJUI MSINGI WAKE.HATUWEZI KU ARGUE NISHAKUSOMA UELEWA WAKO.POLE.
Pesa si za umma sawa..ni katika mazingira yapi mwenye pesa akagawa kama zilivyogaiwa?hoja ya PAC haikupata nguvu et kwa sababu wananch hawakuelewa ukweli...ilipata nguvu katika namba ya utokaji wa pesa hizo..ugawaji wake na majina ya waliopata mgao huo
Kama pesa hizo mmilik angeamua kuzitoa na kugawa katika utaratibu wa kawaida kabisa wa kifedha ..na waliogaiwa kuzipokea katika namba ya kawaida ..hoja ya PAC ingepungua uzito wake....logically utoaj na ugawaji wa pesa umethibitisha uharamu
wa pesa hizo
Kumauka MWENYE PESA ALIGAWA KIHALALI NA HILO LILITHIBITISHWA NA STATEMENT YA BENKI YA MKOMBOZI.NI KWELI NI HALALI UCHUNGUZI UFANYIKE KUJUA NI KWA NINI WAHUSIKA WALIPEWA ZILE HELA JAPO KESI YA MSINGI ILIKUWA NI WIZI WA FEDHA ZA UMMA NA HATIMAYE KUBAINIKA HAZIKUWA.
Kama ni za iptl tangu lini pesa za private company zikae bot akili ya kuambiwa changanya na yako hayaa kakojoe ulale