mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
-Jiwe linalonyonya sumu ya nyoka....
Hapa ni pale mtu anapoumwa nyoka eti Kuna jiwe maalumu linalonyonya hiyo sumu.
Tunaenda mbali zaidi eti ukiliweka kwenye kikombe cha maziwa kama demo linanyonya yote...
-mpapai unaufunga gunzi la muhindi ili usiwe dume ukashindwa kutoa mapapai
-mwanamke akichimba dawa unachomeka nyoya la ndege anaitwa dodolima basi huyo Mwana wa kike lazima akupende
Hizi sayansi jadi zinaukweli ndani yake au Mungu anatubeba tu...