Say no to Precission

Say no to Precission

chante

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
511
Reaction score
675
Wadau,leo nilipata safari ya kutoka mwanza kwenda dar kwa usafiri wa precission, ndege ilikuwa iondoke saa 6.20 mchana, wakahairisha mpaka saa 7.50, wakahairisha mpaka saa 20.40 na sasa ni saa 20.28 wametuambia itafika saa 22.00. Ikumbukwe watu iliokuwa waondoke hapa mwanza kwenda dsm jana tarehe 31.12.2013 walikwamishwa ikawabidi waondoke siku ya mwaka mpya! Si mara ya kwanza kwa watu kuja humu jamvini na kuulalamikia usafiri huu,!inasikitisha sana kwa huu usafiri! Ni hayo tu kwa leo!
Happy new year wanafamilia wa JF!
 
Wanaendesha shirika kama daladala. Ukisoma comments za CEO wao kwenye ile magazine iliyoko ndani ya ndege na wanachokifanya ni contradiction kubwa!!!
 
kama ni lecturer katoka saut or mzumbe anaenda dar kupiga shule, lecture ndo inadorora mazima
 
Wadau,leo nilipata safari ya kutoka mwanza kwenda dar kwa usafiri wa precission, ndege ilikuwa iondoke saa 6.20 mchana, wakahairisha mpaka saa 7.50, wakahairisha mpaka saa 20.40 na sasa ni saa 20.28 wametuambia itafika saa 22.00. Ikumbukwe watu iliokuwa waondoke hapa mwanza kwenda dsm jana tarehe 31.12.2013 walikwamishwa ikawabidi waondoke siku ya mwaka mpya! Si mara ya kwanza kwa watu kuja humu jamvini na kuulalamikia usafiri huu,!inasikitisha sana kwa huu usafiri! Ni hayo tu kwa leo!
Happy new year wanafamilia wa JF!

Ndio leo mara ya kwanza wasafiri? Ule Msemo wa safari ni hatua waujua?

Issue za kawaida tu hizo katika safari
 
Fastjet ipo kwann itumie precision one thing i love about fastjet wako on time hawajawah delay flight zao labda kwa sababu maalum kama wakat uli ndege aliingia akaharibu gps. These guys wanamaanisha biashara afu watanzania tupunguze sifa maana sometimes zitatucost mtu anaona akipanda fastjet ataonekana maskin wakati wako reliable nikawaida sana ya precision kudelay ndege zao yaani kama unajua una important meeting sehemu au unahitaj usafiri ambao ni soo reliable panda basi au fatjet kama uko vizuri kama diamond kodi private jet lakini precision ipo siku mtu utachelewa vitu vya maana
 
Ndio leo mara ya kwanza wasafiri? Ule Msemo wa safari ni hatua waujua?

Issue za kawaida tu hizo katika safari

Itakua umekaririshwa si kila kitu ni kawaida Ukweli ni kwamba precision wamezidi
 
Wanaendesha shirika kama daladala. Ukisoma comments za CEO wao kwenye ile magazine iliyoko ndani ya ndege na wanachokifanya ni contradiction kubwa!!!

Wanajitahidi sana siku hizi, lilitokea la kutokea inakuwa nje ya uwezo wao
 
Nimependa msemo wa kwamba "PW=Please wait"

ahsanteni wadau, ndio tunatua hapa Dar muda huu,saa 6:34 usiku! Tumecheleweshwa kwa masaa 14! Only in tanzaia, ilikuwa ni ndege (please wait) PW 0415 !
Usiku mwema wanafamilia wa JF,
 
umekagua na matairi yake
huwa wanaweka second hand na kuziba pancha kabisa.
 
Back
Top Bottom