Say no kwa kocha wa Simba

Hivi Matola ana kazi gani hapo Simba.

Kocha mpya hana uchungu na mechi za Dabi.

Ilitakiwa Matola anayeijua Simba amshauri wachezaji wanaotakiwa kucheza kutokana na anavyo waona kwenye Mazoezi.

Lingine kwa muda huu Yanga ipo vizuri sana.

Simba walikata Pumzi kabisa kipindi cha pili
 
sijaona kosa la kocha zaidi ya kumtoa chama, viongozi wa simba ni wapumbafu

huwezi kua na malengo ya kufika nusu final ya caf halafu unashindwa kununua mchezaji kwa tsh 400ml

pumbafu kabisa viongozi wa simba

halafu utalisikia li CEO linaropoka nyooo tunataka kumuuza sakho, pumbafu!

mnaifanya timu ya simba sehemu ya biashara huku mkiwa na malengo ya kufika mbali kwenye caf champions league? pumbafu sana.
 
Kocha wetu ni mbuzi tu hamna kitu hapo ni kweli afukuzwe tu.Na viongozi waliomleta wawajibike .Simba tuna wachezaji wazuri Sana shida ni kocha .Hivi kweli Israel ni WA kumweka benchi Kapombe?Huyu ni WA kufukuza tu
 
Hivi Matola ana kazi gani hapo Simba.

Kocha mpya hana uchungu na mechi za Dabi.

Ilitakiwa Matola anayeijua Simba amshauri wachezaji wanaotakiwa kucheza kutokana na anavyo waona kwenye Mazoezi.

Lingine kwa muda huu Yanga ipo vizuri sana.

Simba walikata Pumzi kabisa kipindi cha pili
Haya maswali huonekana humu jukwaani pale tu simba ikifungwa! Ikishinda, huwezi kuyaona. Mashabiki wa simba mnatakiwa kuwa wavumilivu.
 
Back
Top Bottom