Sasa huku kutafutiana kansa.
vitu vingine hivi useless. Mkono ndio wenye kazi ya kutenda sio macho....karibu katika dunia ya uchovu na msongo!
yaani macho yawe yanafanya kazi badala ya mikono tena kwenye computer? itawezekana kweli? ngoja tuone
Stephen Hawking. Mwanasayansi aliyebobea na mlemavu ametengenezewa kompyuta inayomsaidia kazi zake za kila siku na inaongea kwa yeye kufikiri tu. Unaweza ku google ukamuona ulemavu wake, ubingwa wake wa sayansi na vipi kompyuta inamuwezesha.
ukiptia vizuri research yako utagundua statement uliyoweka haiko accurateStephen Hawking. Mwanasayansi aliyebobea na mlemavu ametengenezewa kompyuta inayomsaidia kazi zake za kila siku na inaongea kwa yeye kufikiri tu. Unaweza ku google ukamuona ulemavu wake, ubingwa wake wa sayansi na vipi kompyuta inamuwezesha.
huu mfano ni tofauti kabisa na mada uliyotoa na post niliyowekaUtasemaje kuhusu mabomba ya maji ambayo ni automatic? huitaji kufungua tap, unachofanya ni kuelekeza mikono yako pale then maji yana flow kama kawaida; lazima ufungue kwa mikono yako mkuu?
ukiptia vizuri research yako utagundua statement uliyoweka haiko accurate
Stephen Hawking. Mwanasayansi aliyebobea na mlemavu ametengenezewa kompyuta inayomsaidia kazi zake za kila siku na inaongea kwa yeye kufikiri tu. Unaweza ku google ukamuona ulemavu wake, ubingwa wake wa sayansi na vipi kompyuta inamuwezesha.
huu mfano ni tofauti kabisa na mada uliyotoa na post niliyoweka
ukiptia vizuri research yako utagundua statement uliyoweka haiko accurate
yaani macho yawe yanafanya kazi badala ya mikono tena kwenye computer? itawezekana kweli? ngoja tuone