Saving private Ryan

Saving private Ryan

Saving private Ryan moja kati ya movie bora kabisa za kivita.Ni movie bora ya kivita ya wakati wote.

Hii movie ilitoka mwaka 1998 na mimi nikaiona kwa mara ya kwanza 1999 ikiwa kwenye VHS,kulikuwa na mzungu pale sekondary ya kipoke-kiwira wilaya Rungwe akiitwa boyd mmarekani ndie alizileta hiyo na The mask of Zoro.zikiwa na ubora wake.

Kiufupi hii movie imetengenezwa kutokana na visa vya kweli vilivyotokea wakati wa WW2 wakati wa nchi washirika zilipoamua kuikomboa ulaya kwa kuanzia kuikomboa Ufaransa siku ya 06 june 1943.

USA ,Canada na Uk zilikusanya majeshi na vifaa uko Uingereza kukiwa na manowari zaidi ya 5000 yaan meli vita ,ndege zaid ya 13000 na wanajeshi zaidi ya 160000 wakisubili amri.

13/11/1942 ndege vita za Japan ziliishambulia manowari ya marekani USS Juneau na kuizamisha ambapo wanajeshi wengi walipoteza maisha yao wakiwepo wana ndugu watano wa tumbo moja ambao ni Joe,matt,Al,Frank na George watoto wa Thomas Sullivan walifariki.na kulikuwa na pea zaidi ya 30 za wanandugu.

Jambo hilo halikuwa la kawaida kuwaweka ndani ya kikosi kimoja vitani wanandugu ,halikuwa la jambo la kawaida ndani ya jeshi la marekani,liliitikisa jeshi la marekan.

Chanzo chake kilianza baada ya marekani kushambuliwa na Japan pale pearl Harbour ambapo wanajeshi wengi walikufa sasa hawa wanajeshi wengine walipoteza marafiki.wakaomba wanandugu wawe kwenye kikosi kimoja kama njia ya kuondoa upweke.jeshi likaina ni jambo zuri la kutia moyo.Hivyo ikapelekea watoto wa 5 wa Sullivan kuhudumu kikosi kimoja na wakafa wote pomoja.

Kulikuwa na uchungu mno baada ya tukio hilo ,ikaoelekea jeshi kutunga kanuni za kuzuia wanandugu kuhudumu pamoja nalo bunge la marekani likapitisha sheria iliyoenda mbele zaidi ikitaka kama wanandugu watakuwa vitani kama wapo wawili mmoja kafa itabidi akiebaki arudishwe nyumbani.ili kuepuka familia kupoteza watoto wote vitani.

06 june nchi washirika zinaamua rasmi kwenda kuikombo France kwa kuanzia Normandy ambalo lilikuwa eneo la kimkakati nayo Ujerumani ilikuwa imeijizatiti kwa kujenga ngime imara na silaha kali sana. Sasa familia ya mzee Michael Niland ilikuwa na watoto 4 Preston,Robert,Edward na Frederick (Fritz) ambae kwenye movie ni James Francis Ryan.wote walikwa wanajeshi wakihudumu vikosi tofauti wakati wa WW2.

May mwishon 1944 familia ya mzee Niland inapokea taarifa ya msiba wa Edward
Kuwa ametunguliwa uko Burma na wajapan na hajapatikana .06 june 1944 wanapokea taarifa kuwa Robert nae amekufa siku uko wakati wa ukombozi wa eneo la kimkakati la Normandy wakati wa operation D.Day,siku ya pili Robert nae anakufa pale omaha beach.

Taarifa zinaifikia familia wanabakiwa na mtoto mmoja tu Frederick (Fritz)Niland ambae kwenye movie ni private James Ryan ambae jeshi halijui yuko wapi.mkuu wa kikosi Father Francis anaagiza Frederick (James Ryan)atafutwe popote alipo kwa gharama yoyote arudishwe nyumbani ili familia isipoteze watoto wote.

Jukumu hilo anakabidhiwa kapt.Miller ambae kwenye movie kaigizwa na Tom Hanks na kikosi chake.walaifanikiwa kumpata lakini kwa taabu na hasara kubwa sana alirudishwa kupitia uingereza baadae marekani.

Mwishoni mwa WW2 kaka yake Edward alidhaniwa amekufa uko Burma kumbe alikua hai akishikiriwa na wajapan akakombolewa na vikosi vya Uingereza na kukabidhiwa Marekani.ndugu wote wawili walizikwa jirani.inapoanza tunamuona Frederick (James Ryan =matt Damon )akiwa ni mzee kaenda kutembelea makaburi ya mashujaa waliolala wakat WW2 akiwa hapo anarudisha kumbukumbu za vita na kampeni kali zaidi ya kejeshi kuwai fanyika dunia ambapo nchi washirika ilipoteza askali zaid ya 4000 nao Nazi 4500-9000

Movie hii. Wameshiriki wakali wengi kama vile Matt Damon ambae kaingiza kama Private James Ryan
Tom Hanks =Kapt Miller
Vin Diesel = private Caparzo
Barry Pepper =pr.Jackson bonge la sniper
Jeremy Davis =Corp Upham jamaa yule mtafsiri na muoga mno.
Mzee baba hichi kisanga ndio nmekiona leo ...aise dah! kweli vita sio lelemama ..yani solders wanakishwa ni balaa lakini hawarud nyuma ..apo ndo utaamin mwanajesh ni raia mwingine kabisa ..

Kuna yule mtafasiri lugha alizingua sana ..yani anashuhudia mwenzake anashindiliwa kisu cha kifuani afu kwa uoga wake anashindwa mtetea solder.

Ila kiukweli movie kali sana, yule sniper alitisha alivyo msave Van Diesel.. Kapt John Miller alikufa kishujaa sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saving private Ryan moja kati ya movie bora kabisa za kivita.Ni movie bora ya kivita ya wakati wote.

Hii movie ilitoka mwaka 1998 na mimi nikaiona kwa mara ya kwanza 1999 ikiwa kwenye VHS,kulikuwa na mzungu pale sekondary ya kipoke-kiwira wilaya Rungwe akiitwa boyd mmarekani ndie alizileta hiyo na The mask of Zoro.zikiwa na ubora wake.

Kiufupi hii movie imetengenezwa kutokana na visa vya kweli vilivyotokea wakati wa WW2 wakati wa nchi washirika zilipoamua kuikomboa ulaya kwa kuanzia kuikomboa Ufaransa siku ya 06 june 1943.

USA ,Canada na Uk zilikusanya majeshi na vifaa uko Uingereza kukiwa na manowari zaidi ya 5000 yaan meli vita ,ndege zaid ya 13000 na wanajeshi zaidi ya 160000 wakisubili amri.

13/11/1942 ndege vita za Japan ziliishambulia manowari ya marekani USS Juneau na kuizamisha ambapo wanajeshi wengi walipoteza maisha yao wakiwepo wana ndugu watano wa tumbo moja ambao ni Joe,matt,Al,Frank na George watoto wa Thomas Sullivan walifariki.na kulikuwa na pea zaidi ya 30 za wanandugu.

Jambo hilo halikuwa la kawaida kuwaweka ndani ya kikosi kimoja vitani wanandugu ,halikuwa la jambo la kawaida ndani ya jeshi la marekani,liliitikisa jeshi la marekan.

Chanzo chake kilianza baada ya marekani kushambuliwa na Japan pale pearl Harbour ambapo wanajeshi wengi walikufa sasa hawa wanajeshi wengine walipoteza marafiki.wakaomba wanandugu wawe kwenye kikosi kimoja kama njia ya kuondoa upweke.jeshi likaina ni jambo zuri la kutia moyo.Hivyo ikapelekea watoto wa 5 wa Sullivan kuhudumu kikosi kimoja na wakafa wote pomoja.

Kulikuwa na uchungu mno baada ya tukio hilo ,ikaoelekea jeshi kutunga kanuni za kuzuia wanandugu kuhudumu pamoja nalo bunge la marekani likapitisha sheria iliyoenda mbele zaidi ikitaka kama wanandugu watakuwa vitani kama wapo wawili mmoja kafa itabidi akiebaki arudishwe nyumbani.ili kuepuka familia kupoteza watoto wote vitani.

06 june nchi washirika zinaamua rasmi kwenda kuikombo France kwa kuanzia Normandy ambalo lilikuwa eneo la kimkakati nayo Ujerumani ilikuwa imeijizatiti kwa kujenga ngime imara na silaha kali sana. Sasa familia ya mzee Michael Niland ilikuwa na watoto 4 Preston,Robert,Edward na Frederick (Fritz) ambae kwenye movie ni James Francis Ryan.wote walikwa wanajeshi wakihudumu vikosi tofauti wakati wa WW2.

May mwishon 1944 familia ya mzee Niland inapokea taarifa ya msiba wa Edward
Kuwa ametunguliwa uko Burma na wajapan na hajapatikana .06 june 1944 wanapokea taarifa kuwa Robert nae amekufa siku uko wakati wa ukombozi wa eneo la kimkakati la Normandy wakati wa operation D.Day,siku ya pili Robert nae anakufa pale omaha beach.

Taarifa zinaifikia familia wanabakiwa na mtoto mmoja tu Frederick (Fritz)Niland ambae kwenye movie ni private James Ryan ambae jeshi halijui yuko wapi.mkuu wa kikosi Father Francis anaagiza Frederick (James Ryan)atafutwe popote alipo kwa gharama yoyote arudishwe nyumbani ili familia isipoteze watoto wote.

Jukumu hilo anakabidhiwa kapt.Miller ambae kwenye movie kaigizwa na Tom Hanks na kikosi chake.walaifanikiwa kumpata lakini kwa taabu na hasara kubwa sana alirudishwa kupitia uingereza baadae marekani.

Mwishoni mwa WW2 kaka yake Edward alidhaniwa amekufa uko Burma kumbe alikua hai akishikiriwa na wajapan akakombolewa na vikosi vya Uingereza na kukabidhiwa Marekani.ndugu wote wawili walizikwa jirani.inapoanza tunamuona Frederick (James Ryan =matt Damon )akiwa ni mzee kaenda kutembelea makaburi ya mashujaa waliolala wakat WW2 akiwa hapo anarudisha kumbukumbu za vita na kampeni kali zaidi ya kejeshi kuwai fanyika dunia ambapo nchi washirika ilipoteza askali zaid ya 4000 nao Nazi 4500-9000

Movie hii. Wameshiriki wakali wengi kama vile Matt Damon ambae kaingiza kama Private James Ryan
Tom Hanks =Kapt Miller
Vin Diesel = private Caparzo
Barry Pepper =pr.Jackson bonge la sniper
Jeremy Davis =Corp Upham jamaa yule mtafsiri na muoga mno.
Kaka hii picha nimeipata jana na kuiweka nyumbani mwenzangu akawa anafuatilia mimi niko Bize na jf, ntaenda kuifuatilia vizuri, asante sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom