Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,293
hivi hiki ki pharmacy bado kipo...kulikuwa na mwana-mama mmoja alikataa kuniuzia condom eti kwa vile sikumuamkia!!
nadhani wana-supplement hela nyingine kuiendesha hiyo pharmacy maana sidhani kama inawalipa...Litakuwa ni hilo jeusi km mkaa lililovaa purple. Huyu mwanamke jeuri kama mtoa roho
nadhani wana-supplement hela nyingine kuiendesha hiyo pharmacy maana sidhani kama inawalipa...
customer care kwa Tanzania bado sana...watu wanajifanya wafanyabiashara lakini kuhudumia wateja kwa nidhamu hawataki!!Hawana heshima kwa mteja
huyo kwa picha ndio muhusika?
Ipo wapi?...
iko savei......
sema ukweli hukuwa na cheti ya dk kukuruhusu utumie condom!!sio kila condom unabebatu zingine zinaiitaji support ya dk hasakwenye matumizi!!nawalewanaendekeza makaratasi ya dk ili ukikosea dose wawenaushahidihivi hiki ki pharmacy bado kipo...kulikuwa na mwana-mama mmoja alikataa kuniuzia condom eti kwa vile sikumuamkia!!
Wamezoea kuvua chupi kwa mdk na prof so wengine nimabwege!!ykitaka kucheka ongozana na maprof uone wanavyonyenyekea kamawanasubiri sakramentitakatifuDaaa huyu dada cku moja nilimwambia nisaidie sabuni ya kuondoa vipele akaniambia yeye haijui na hataki kesi za kijinga duuu kumbe wanatabia mbaya sana hawa sio!!!! Daaaaa umenikumbusha nilimtukana sana akatishia kuniitia polisi nikamwambia mm mwenyewe polisi!!!!
Biashara na miradi ya watu kweli huharibiwa na wafanyakazi na watoa hufuma wasiojali kama hao mabinti. Nitafikisha malalamiko na maoni yenu kwa mwenye mali hope mkienda baada ya wiki moja mtakutana na lugha nzuri au mabadliko makubwa. Btw poleni sana kwa niaba ya mmiliki, ni rafiki yangu wa karibu