Save 25% ya mafuta kwenye gari yako...!!

Save 25% ya mafuta kwenye gari yako...!!

Hapo ndio mtihani huu mwaka unaweza geuka ukawa ni majanga tu,unanunua product halafu baadae TBS wataibuka na kusema product haifai inauwa engine.TZ NI ZAIDI YA UIJUAVYO.

Braza unaweza tizama kwenye dat website ukaona mwenyeweee hii bidhaa c ya kubahatisha
 
Syntek Global= Inaonyesha inaweza ikasevu kwa watumiaji wakubwa, viwanda na mitambo mikubwa ya migodini. Kwa watumiaji wadogo wa lita 50 - 100 inaonyesha hailipi.

Jaribu kuifatilia kwa umakini mr inatumika mpaka kwenye pikipiki
 
Hizi product huwa sizielewi kabsaa, na hazijawahi kunivutia, kwani hata huko zilikotoka haziko popular na wao wanasema they dont work!
Thanx Mkuu!
 
Hizi product huwa sizielewi kabsaa, na hazijawahi kunivutia, kwani hata huko zilikotoka haziko popular na wao wanasema they dont work!
Thanx Mkuu!

Yaweza kuwa kweli haiwork kwa kuskia kwa mtu but we were tryng to use it na tumeona result nzuri nafkiri uliyemsikia hajatumui km inavyoelekezwa
 
Hapo ndio mtihani huu mwaka unaweza geuka ukawa ni majanga tu,unanunua product halafu baadae TBS wataibuka na kusema product haifai inauwa engine.TZ NI ZAIDI YA UIJUAVYO.

Ni kweli ndugu kuna wakati kulikuwa na dawa iliyoaminika kuwa inatibu magonjwa kibao ikiitwa NGOKA au jina kama hilo ilikuwa inauzwa Tshs 20,000/=. Kuna siku nikakuta vijana wakijaza takataka za mbao katika mifuko ile ndo nikachoka kichizi wewe acha tu.

Thanks
 
Mkombozi wa Subaru wana wa Apollo mmenipata chanhamkieni hii bidhaa kabla haiaisha
 
Back
Top Bottom