Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,509
- 911,250
Wizi wa nywele za aina ya marasta umechachamaa sana Sauzi na wezi wakikukuta wanakutia chini ya ulinzi na wanatembea na mkasi na kukunyoa bila ya ridhaa yako kisha hutoweka kusikojulikana...
Kutokana na kupanda kwa bei za kusukwa marasta bandia kwenye masaluni basi wezi nao wamegundua hilo soko na kuwaweka wenye marasta kwenye njia panda..........
Wanaokwenda kwenye masaluni hutaka wasukwe ila hawataki kuzilea hizo nywele kwa madai huchukua siku nyingi na kazi kubwa.............yaweza kuchukua hata miaka zaidi ya kumi kuwa na marasta mengi.........
Kwa khabari zaidi jisomee.............usije ukazipoteza zako na hata yule mlengwa akaingia mitini...lol
The South African hair thieves targeting dreadlocks