hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
vizuri sanaVatican washatoa tamko kuwa yesu harudi tena maana wakati anatoa ahadi ya kurudi alikuwa kalewa.haya ni maneno ya padre msemaji wa papa.siyo mimi msije mkanishambulia.
vizuri sanaVatican washatoa tamko kuwa yesu harudi tena maana wakati anatoa ahadi ya kurudi alikuwa kalewa.haya ni maneno ya padre msemaji wa papa.siyo mimi msije mkanishambulia.
watu wamekula vitu vyao wanaskia sauti za ajabu...
Huko hawaiti mivinyo. Hiyo kitu inaitwa "maji ya uzima" au jamii ya Ishmael imeipa jina la "damu ya bwana". Kunywa hiyo kitu ni sehemu ya ibada ili wapate kufanya ile kitu waziri mkuu wa amefanya.https://www.jamiiforums.com/interna...uu-luxembourg-afunga-ndoa-ya-jinsia-moja.html
Vatican washatoa tamko kuwa yesu harudi tena maana wakati anatoa ahadi ya kurudi alikuwa kalewa.haya ni maneno ya padre msemaji wa papa.siyo mimi msije mkanishambulia.
Ukweli Kristo yu karibu kuja kuinyakua kanisa.wale walio wake tukae tayari.tusipotezwe lengo na chochote.tarumbeta itakapopigwa wote walio wake na waliokufa katika Kristo watasikia. na kunyakuliwa