Nasikia kuna tifu polisi na bodaboda. Mnamo mida ya jioni Ijumaa hii, kuna V8 ya kigogo serikalini ilipasuka tairi maeneo ya Bunju B ikaweweseka na kuilamba bodaboda iliyokuwa imefiungasha "mshkaki" na kuwamaliza watu wale.
Basi bodaboda wakavamia na kulichoma V8 hadi majivu. Sasa usiku huu limekuwa linaendeshwa timbwili na polisi kuwasaka na kuwakamata watuhumiwa na ikawabidi polisi kutumia za moto kukabiliana na ushirika wa bodaboda.

Panya road wanapambana na Mbwa mwitu.... polisi imeingilia..!!!

Sleeping cell !!kuna tawi lao dogo limejibanza......Bunju hatuna habari za panya road wala babaake mende road acha fix mkuu.....
sasa unataka wachukue sheria mguuni ?Suala la watanzania kuchukua sheria mkononi sio zuri
Hii nchi kila mtu ni mbabe tu, watu washachoka kuwa waungwana sasa maana wanajihisi kama uungwana wao unawafanya waburuzwe. Bodaboda wanechoma moto gari kibabe na sasa mwenye gari anawasaka kibabe. Utemi kama huu huwa ni dalili mbaya sana.
Ova[/Q
mbwa kala mbwa
labda tatizo ni kuchukua sheria mkononi kwenye ndogondogo ,tuchukue sheria mkononi kwenye kubwa kama escrow,sasa hata ukitaka kufuata mkondo wa sheria ni kazi bure majaji wenyewe wengi wao ni wala rushwa, refer to escrow scandalSuala la watanzania kuchukua sheria mkononi sio zuri