Attach hiyo conscious hapahapa mkuu mpaka tukufuate PM tena unachelewesha ujumbe uliokusudiwa kufikaUkihitaji nifuate PM maana hata yeye kasisitiza turushiane ili sote tuupate ujumbe uliokusudiwa.
Kabisa Nash ana V.V.UNash ndo Mc pekee mwenye VVU
Vina Vikali Usipime
chuki haipandikizwi wewe boya wewe unaleta stor zako za kimama apaHamna kitu huyo boya, na miguu yake kama banio! Alafu anajifanyaga anajua sana, kumbe kichwani empty . kuna siku mona nilikaa naye kuzungumza mawili matatu, ndipo nilipoona hamna kitu huyo jamaa!
Punguza jazba maalim! Ukitaka kuamini nachokuambia nenda kwenye show zake anazofanya bure uone kama kuna watu, huwa anaimbia viti vitupu!chuki haipandikizwi wewe boya wewe unaleta stor zako za kimama apa
eti viti vitupu ata ukimuambia mtoto mdogo atahisi una mtindio maana ni kitu kisichowezekanaPunguza jazba maalim! Ukitaka kuamini nachokuambia nenda kwenye show zake anazofanya bure uone kama kuna watu, huwa anaimbia viti vitupu!
Hata kichaa hawezi kucheka akiwa peke ake acha zako wewPunguza jazba maalim! Ukitaka kuamini nachokuambia nenda kwenye show zake anazofanya bure uone kama kuna watu, huwa anaimbia viti vitupu!
Hamna kitu huyo boya, na miguu yake kama banio! Alafu anajifanyaga anajua sana, kumbe kichwani empty . kuna siku mona nilikaa naye kuzungumza mawili matatu, ndipo nilipoona hamna kitu huyo jamaa!
Hizi ni chuki za wazi, tujifunze ku-appreciate kile kidogo mtu anafanya na kuwatia moyo, kwa maoni yangu pamoja na madhaifu mengine ya kibinadamu ila jamaa anajitahidi sana kusongesha harakati zake, ningeshauri ujaribu kufuatilia hata page zake uone harakati zake.huwa anaimbia viti vitupu!
Nashi kama binaadamu wengine tu, mapungufu hayakosekani ila katika harakati za kuuweka utamaduni huu sehemu inayostahili Nashi anafanya mengi makubwa kuliko wakubwa waliopo kwenye mainstreamHizi ni chuki za wazi, tujifunze ku-appreciate kile kidogo mtu anafanya na kuwatia moyo, kwa maoni yangu pamoja na madhaifu mengine ya kibinadamu ila jamaa anajitahidi sana kusongesha harakati zake, ningeshauri ujaribu kufuatilia hata page zake uone harakati zake.