Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,301
- 2,394
Kweli binadamu tumetofautiana!!mimi hawa jamaa sijawahi kuwaelewa. Kifupi huwa nashangaa wanapatia wapi umaarufu.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Usipoteze muda wako kutaka kujua watu wanapata vipi umaarufu na pesa, wewe poteza muda kutafuta pesa na umaarufu kama unautaka.Mimi hawa jamaa sijawahi kuwaelewa. Kifupi huwa nashangaa wanapatia wapi umaarufu.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
Nitakosaje hapa kwa mfanoNgoja akina@mshanajunior waje
Mason ndio inatawala dunia. Ila mason wanayoambiwa waswahel ni tofauti kabisa na mason original.Ila hizi habari za freemason kuna kipindi zilikiki sana yaani hata platnumz walisema tayari kashaingia
Ndio maana unaona nimekuja baada ya huu uzi.ningeanzisha uzi special kwa hilo ungehoji kwanini napoteza muda.Usipoteze muda wako kutaka kujua watu wanapata vipi umaarufu na pesa, wewe poteza muda kutafuta pesa na umaarufu kama unautaka