Sauti kutoka Chumba cha Siri "Nimewaza Kishetani"

Pazi na Jogoo

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
331
494
Katika jengo ambalo linaonekana kuwa kuu kuu, lkn siyo hivyo ni kwasababu ya kupauka rangi yake ya maziwa, limezungukwa na miti ya aina mbalimbali na walinzi wamesimama kila upande, wanyama aina ya mbwa wapo pia hawaonekani kuwa wakufugwa ila ni wasaidizi wa walinzi waliyopo ktk jengo hilo (Jengo la siri ) siyo refu saaana kwenda juu ambalo kulitazama haikulazimu kuinua shingo yako, najua lilijengwa hivyo kwa sababu za msingi kabisa kwamba isiwe rahisi kutambulika, lkn pia lionekane kama nyumba za kawaida za makazi ya watu.

Mwonekano wake wa nje unaweza kukukatisha tamaa na wakati mwingine kughahiri kabisa kuingia ndani yake, lahaula usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kumbe ungeingia ndani yake ungestaajabu yaliyomo.

Kila jambo linalofanyika ndani yake inabaki kuwa siri, tena inayowahusu wale wasiyotaka kusemwa, kuguswa wala kuzungumzwa kwa lengo la kusahihishwa, kwa kufanya hivyo ni adui namba moja lkn ukiwa upande wao alama ya vema iko nawe hata roho ikiacha na mwili, , , mmoja alisikika akisema "ukiwa upande wao hata kivuli chako kitakumbukwa hata kuwekwa kwenye kalenda kuweka siku maalum ya kukumbukwa." Alisema pia katika jumba hilo kuna chumba ambacho wao hawaruhusiwi kuingia pamoja na kwamba wapo ndanj yake.

Sauti ya kwanza ya Siri.

Siku ile nilikuwa mbali sana, ghafla niliona simu yangu ikiita nikajua ni simu ya kawaida kama zile za siku zote, nilipewa maagizo nami nikatekeleza kisha nikaitikia mwito, wakati huo niliwakuta wenzangu tayari wamefika, kabla ya kuzungumza chochote pamoja nao nilistaajabishwa na taswira zao, ile bashasha wakati tukionana wakati mwingine ilitoweka, nikajisemea "Chumba chetu siyo salama".

Sauti ya pili ya siri.

Muda mfupi baadaye tulialikwa mezani, haikuwa kawaida yaani yale maandalizi ya maji mezani grass pamoja "Tishu" havikuwepo, kila mmoja miongoni mwetu alionekana kutaharuki wachache tuliokawia kuwasili hatukufahamu lolote, ndipo fukaelezwa lengo la mwito wetu.

Lakini tuliazimia kwa pamoja kwamba tuwe kinyume na kile kilichopo, yaani tulikaa nyuma ya ukweli, nilishangazwa na taariza zile lkn mbali na kwamba zilikuwa ni kweli ililazimu kutunza ahadi yangu "Kuwa kinyume na ukweli".

Wakati mwingine niliwaza " Itakuwaje siku ikifahamika kwamba nilikuwa kinyume na ukweli?" Nilipiga moyo konde kwa kusema sisi ni chumba cha siri.

Sauti ya tatu na nne ya siri.

Wakati wote huo tuliutumia kuwaanda watu, tulisafiri usiku na mchana bila kutumia utambulisho wetu rasmi, unajua tulionekana watu wakawaida kabisa hata hivyo nilijifunza kuona watu wakawaida wanavyopata adha, nilijisemea "kumbe watu wa kawaida wanataabika kiasi hiki?"
Safari yetu ilifika kikomo, hatimaye tulikaribishwa ndani majira yale ya usiku na mazungumzo yetu yakaanza.

Salama!
Karibu!
Hapa ni nyumbani!
Hamkusumbuka?
Aah kawaida!
Enh, jambo jipya lipo?
Ndiyo, lakini siyo jema.
Ooh Mungu (mungu) wangu, nikweli......
Pole sana lkn tupo pamoja, hili ni jambo letu wote!
Hapana haiwezekanai, jamani yani una...una....
Njo, we nanii sogea ona njo mshike hapa mama mbebe huku we mwambie dereva awashe gari haraka.

Sauti ya tano ya siri!

Kwa upande wetu tulianza utekelezaji wa majukumu wa maandalizi na mambo mengine muhimu, ilikjwa ngumu kukubali lkn sasa ni kawaida, unajua pale wengine walikuwa kinyume na sisi, sijui niseme nini nadhani walifurahi sana.

Nikwasababu kuna wakati waliteseka sana si unakumbuka waliwahi kutolewa, , , , , aaah ni kwasababu hiyo wakati mwingine kama mwanadamu unakasirika na kuchukia pia mara unapozoea unasamehe na kusahau kwahiyo niseme kwamba ndivyo ukweli ulivyo.

Sauti ya 6, 7, na 8 ya siri!

(Haziko kwenye mpangilio) Hahahahaha.
Nilitegemea jambo kwa muda.
Aah sana tuseme limechelewa sana
Lkn sasa, , , , ,
Unajua bado itakuwa ngumu
Aah wapi, kila kitu sasa kipo kwetu.
Hata hivyo jamani tumeponea chupuchupu.
Hahahahaa sana sana aah, nimejifunza kitu unajua kijiko ni chuma lkn kinatumika na kuisha.
Hahahaha ni vile vile kama chuma tu kikianguka kazi zinasimama.
Sawa jamani sasa nini kinafuata
Nadhani haya mambo hadi ziara iishe.
Aaah hapana hatuwezi kusubiri ziara iishe, lazima tufanye jambo la haraka.
Hapana tutaharibu kwasababu, , , , , namaanisha sisi si tupo?
Hahahaha ni kweli lkn wote sasa ni kutoka upande mmoja tena kila kitu moja moja.
Unajua nilikuwa nawaza jambo hapa, kwamba tufanye tuwezavyo wa chini yake atoke kwetu ili ikiwa hivyo ni rahisi kumtoa alafu sisi tunakuwa juu yao wote.
Enhh hapo sasa uko sawa lkn unadhani kumtoa ni kazi nyepesi?
Aaah hayo mawazo ya kitoto sana, mangapi tumeyafanya tena katika nyakati ngumu na tukafanikisha?
Jamani hatuna muda lkn tuseme kila penye nia pana njia bana.
Haya jamani kwa leo tuishie hapa, kila mmoja wetu akumbuke mambo ya chumba cha siri ni siri kwa walio nje siyo kwetu ndani ya jengo.

FB_IMG_1616562690231.jpg
 
View attachment 1734099
Naona BULUDOZA limedondoka.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kiukweli nimesoma mpaka mwisho lakini nimetoka patupu. Sijaelewa kitu.

Sasa kujifanya mimi pia JF great thinker, mtaalamu wa kusoma Code, basi kinafiki nitasema nimeelewa, nahisi hii story itakuwa inahusu kifo cha Dikteta Magu.
Madikteta unawajua wewe au umeamua tu kuchangamsha genge
 
Kuna yule aliokula kiapo wa mwisho na akakimeza chote, inafikirisha sana, ukizingatia ucommunist wake wenye sura mbili na tetesi za mafunzo na wenye ucommunist wao asilia. . . . Wafupi hivi, macho kama yanasinzia, akili zina chaji kama betri ya V24. . . Ni vigumu kuamini, ila. . .

Karata zimechezwa zikachezeka, Joker halijulikani lilipo, juu ya meza kuna Magarasa yametamalaki. . . . .

Nlitegemea bandari ingepoteza mvuvi muda si mrefu. . .
 
Back
Top Bottom