bora hata mashndano ya kuvaa vipedo yapungue!haya ni mambo ya kawaida sana hata nje baadhi ya vyuo yapo, mfano kwa boys jeans,t-shirt,sendo,kaputula haviruhusiwi lengo ni kujiandaa na mazingira ya kazinisafi sana saut..........................maana wengine wamegeuza sehemu ya maonesho ya mavazi
Thread yako haina tija, then ilishakuja na kujadiliwa sana humu. Mambo yako ya vimini na saut peleka huko chuoni. hata wakivaa hijabu. (by the way kuvaa nguo za stara saut ni sawa sawa na kuvaa vimini chuo cha mum pale moro)