SAUT Mwanza mabinti wamevuka mipaka

SAUT Mwanza mabinti wamevuka mipaka

Naskia MILEMBE mwamke wa GG M kabeba kimwana wa SAUT hii ni balaa
 
Mkuu Kwanza Pole Kwa Rehearsal Yako Kwani Nina UHAKIKA 100% Kuwa Umewasili Jijini Mwanza Juzi au Jana Na Kesho MNAHITIMU Rasmi Na Masters Degree Yako Hapo Chuoni SAUT Mwanza. Ushauri Wangu Tu Ya Huko au Unayoyaona Huko Sasa Yaache Tu Mkuu Kwani Hata Huku Ulipotoka Wanafunzi Hao Wa KIKE NI MAFUSKA WA KUTUKUKA Na Nimekushangaa Hujawasema Wa Huko Kwenu Bali Umeamua Kukimbilia Kukisema Chuo Cha SAUT. Je Hiyo Ndiyo Shukrani Yako Baada Ya Kupata ELIMU Yao? Acha UNAFIKI! Vaa JOHO Lako Kesho, HITIMU Kisha Jumanne Anza Safari Yako Ya Kurudi Kwenu. Hata Hivyo Nakutakia MAHAFALI Njema Kesho Na Nisalimie Hao Wa DARASA LAKO LA MAMC 2013 - 2015 Unaohitimu Nao Kesho, Kila La Kheri!
Research paper yake aliyoiwasilisha ilihusu huu uzi aliouweka labda!!! [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
mkuu, mabinti wa chuo wanafahamika sana mjini...naamini hata wewe unawafaham bila kuwa na hicho kitambulisho cha chuo..

dressing style zao...na mienendo yao kiujumla ni unique na mabinti wengine wasio wanachuo..

Labda ubishe tu....lakini ukweli uko wazi sana
Dressing styles za mabinti wa SAUT ni tofauti na mabinti wa CBE, BUGANDO,IFM, au MZUMBE CENTER???
 
Muombe Mungu akupe wakununua na siyo wauzaji. Nyambafu.umejuaje kama c? Mnunuzi? We we usiku unawaonea wapi? Fuska mwingine we we.
 
Back
Top Bottom