SAUT campus ya Mtwara kimenuka

SAUT campus ya Mtwara kimenuka

MASEETO

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2013
Posts
261
Reaction score
86
Katika hali isiyo yakawaida mchana huu chuo kikuu cha SAUT Mtwara kumetokea maandamano kuelekea kwa mkuu wa mkoa Mtwara kushinikiza serikali kutoa mkopo.
 
Katika hali isiyo yakawaida mchana huu chuo kikuu cha SAUT Mtwara kumetokea maandamano kuelekea kwa mkuu wa mokawa mtwara kushindikiza serikali kutoa mkopo

Duh ni kirambasi hicho!Mpaka sasa boom la pili bado ?
 
kheri yao SAUT, SUA hali ni mbaya lakini wapo kama Kondoo tu. Wanasubiri haki yao itafutwe na wengine
 
MASEETO Poleni sana. Kuweni makini na polisi. Mtapigwa!
 
Last edited by a moderator:
Inapofika sehemu maisha ya watu yanakuwa hatalini kisa chakula kuna haja ya kuchukua mbadala na ndicho SAUT tumefanya leo kudai uhai wetu. Lazima selikari iwe makini na maisha ya watu.
 
sua ni watia misuli tu. maswala ya kuandamana kida boom hayawahusu. labda hao saut.
 
Sauti mtwara c mlipewa kadi na kinana za ccm?Pia kaka yenu mwigulu alipeleka hoja bungeni juu ya mikopo je mpaka sasa hajaleta pesa?
 
Mtwara hukuna vuguvugu za kisiasa, wanafunzi wote kama wamissionary lakini leo warumi wameonja joto
 
Mwisho wa yote chuo na RAS wameingia mkataba na watu cantin ili wanafunzi wale chakula kwa mkopo na hela ikifika watapaswz kulipa, inasikitisha sana. Hata hivyo maswali machache yanaibuka je
1. Mkopo utafika lini 2. Chakula wanachukla kwa mkopo utamaliza mahitaji yote ya msingi kwa wanafunzi hasa watoto wa kike 3. Kama mkopo hautakuja ndani ya siku saba zijazo, nini mstakabali wa harakati za kuondoa maambukizi ya ukimwi katika chuo cha SAUT MTWARA
Mbaya zaidi mitihani ya chuo itaanza tarehe 1 julai na kumalizika tarehe 12 july. Je hawa vijana ambao ni watototo waliowengi wa masikini mstakabli wwake nini ni kama hawahishiwa mikopo yao? MUNGU IBARIKI TZ! MUNGU KIBARIKI CHUO SAUT MTWARA(STEMMUCO)
 
Inapofika sehemu maisha ya watu yanakuwa hatalini kisa chakula kuna haja ya kuchukua mbadala na ndicho SAUT tumefanya leo kudai uhai wetu. Lazima selikari iwe makini na maisha ya watu.

Hivi madai yenu yalikuwa ni kupata ugali wa sh. 1000tshs.? Nadhani mlipaswa kwenda mbali zaidi.umeme, maji na pango mtalipa kwa chakula cha buku?
 
MASEETO Poleni sana. Kuweni makini na polisi. Mtapigwa!

Polisi mtwara kwa mara ya kwanza wametumia busara sana maana wamezimisha maandamano kwa busara na kuwasihi wanafunzi warudi darasani. Natoa wito kwa askari wote tanzania kufuata nyao za askali wa mtwra. Maana wamewasindikiza hadi ndani ya chuo na wao kulinda nje ya fensi. BIG UP POLISI MTWARA! MABOMU YANAACHA LAANA
 
Last edited by a moderator:
Wanafunzi wengine wamefukuzwa vyumbani na wenye nyumba kwa kuchelewesha pesa jaman tumechoka
 
Back
Top Bottom