kisasangwe
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 292
- 56
Sikiliza nikwambie!.Hakuna sheria na agizo la kiislamu linalopitwa na wakati na wala hakuna iliyoanza mwaka 47 na 1970.Maagizo yanayoanzia kwa Allah s.w hayana mwanzo wala ukomo.
Nyinyi kwenye forums na magazeti munaong'ang'ania Saudia iachie uendeshaji wa gari huru kwa wanawake wala hamuelewi lengo kuu na hao walioanzisha ajenda hii.Wanawake na wanaume wa Saudia na kote kwengine wala hawana akili ya kupinga hekima ya Muumba wao.
Kwa kifupi nitoe fununu la kile ninachojua mimi mwenyewe.Katika Uislamu kuna kitu kinaitwa sitara ya mwanamke.Hii sitara ni mada pana sana wahadhiri wa kiislamu wanaweza wakatoa darsa mpaka ukasinzia bila kfikia mwisho.Katika sitara gari inaweza ikawa kitu kimojawapo kinachoondoa hiyo sitara.Inapoondoka kunapatikana kitu kinaitwa fitna na hii ikija nchi na dunia haikalilki.Waislamu kwa wakristo huonja chungu yake.
Wanaopinga uislamu hupendelea kuanza na kuleta fitna kwanza kabla kutumia makombora ya kutoka angani ili kurahisisha kazi.Katika uislamu wanawake ni watu muhimu sana na msingi kila jambo.Hivyo ukiweza kuwavuruga wao kwanza utakuwa umewaweza wanaume wao wa kiislamu.
Ukiwa na muda kidogo jisomee tafsiri ya Qur'an surat Ahzaab:59 na Surat Nnuur aya za 30 na 31.Vile vile jisomee mada ya Hijabu.
Wasomi wa kiislamu wa Saudia ndio wanaoelewa hayo.Wafalme na ndugu zao wanaweza wakajaribu kuridhia matakwa ya maadui lakini bado watakuwa hawajaufaa ulimwengu kwani fitna ikija itatukumba sote waislamu kwa wakristo.Mfano wa fitna inavyoenea angalia mizozo ya Libya na Iraq.
Nikiendelea na hilo angalizo ni kwamba haijakatazwa mwanamke kuendesha gari moja kwa moja kama nilivyosema awali hapo juu ,bali lazima kwa masharti ili kuondoa uwezekano wa kutokea fitna.Sikiliza nikwambie!.Hakuna sheria na agizo la kiislamu linalopitwa na wakati na wala hakuna iliyoanza mwaka 47 na 1970.Maagizo yanayoanzia kwa Allah s.w hayana mwanzo wala ukomo.
Nyinyi kwenye forums na magazeti munaong'ang'ania Saudia iachie uendeshaji wa gari huru kwa wanawake wala hamuelewi lengo kuu na hao walioanzisha ajenda hii.Wanawake na wanaume wa Saudia na kote kwengine wala hawana akili ya kupinga hekima ya Muumba wao.
Kwa kifupi nitoe fununu la kile ninachojua mimi mwenyewe.Katika Uislamu kuna kitu kinaitwa sitara ya mwanamke.Hii sitara ni mada pana sana wahadhiri wa kiislamu wanaweza wakatoa darsa mpaka ukasinzia bila kfikia mwisho.Katika sitara gari inaweza ikawa kitu kimojawapo kinachoondoa hiyo sitara.Inapoondoka kunapatikana kitu kinaitwa fitna na hii ikija nchi na dunia haikalilki.Waislamu kwa wakristo huonja chungu yake.
Wanaopinga uislamu hupendelea kuanza na kuleta fitna kwanza kabla kutumia makombora ya kutoka angani ili kurahisisha kazi.Katika uislamu wanawake ni watu muhimu sana na msingi kila jambo.Hivyo ukiweza kuwavuruga wao kwanza utakuwa umewaweza wanaume wao wa kiislamu.
Ukiwa na muda kidogo jisomee tafsiri ya Qur'an surat Ahzaab:59 na Surat Nnuur aya za 30 na 31.Vile vile jisomee mada ya Hijabu.
Wasomi wa kiislamu wa Saudia ndio wanaoelewa hayo.Wafalme na ndugu zao wanaweza wakajaribu kuridhia matakwa ya maadui lakini bado watakuwa hawajaufaa ulimwengu kwani fitna ikija itatukumba sote waislamu kwa wakristo.Mfano wa fitna inavyoenea angalia mizozo ya Libya na Iraq.
Nikiendelea na hilo angalizo ni kwamba haijakatazwa mwanamke kuendesha gari moja kwa moja kama nilivyosema awali hapo juu ,bali lazima kwa masharti ili kuondoa uwezekano wa kutokea fitna.
Kisasangwe usipite tu huku umejaa hofu.Simama kidogo usome,uchangie na uulize ndipo utafaidi.mhhhhh hapo hapo kwenye red sasa. umuhimu wao huwa kwa kina nani hasa?
napita tu
US Secretary of State Hillary Clinton has praised "brave" Saudi women who are campaigning for the right to drive.
Mrs Clinton said they were "right" to press their demands in the ultra-conservative kingdom, in her first public comments on the issue.
Many Saudi women openly took to the roads last Friday in defiance of an official ban on female drivers.
Last month a woman was arrested after uploading a video of herself driving a car.
"What these women are doing is brave, and what they are seeking is right," Mrs Clinton told reporters when asked to comment on the campaign.
"I'm moved by it and I support them."
BBC News - Hillary Clinton praises 'brave' Saudi women drivers
Si umeona mwenyewe hapo waasisi wa hii kampeni sasa wameingia wenyewe.Pamoja na hivyo naona mambo bado si mazuri kwani mmoja wa wawakilishi wao Mahal al Gahtani amelalamika kwa kusema "I was disappointed that I didn't see any other women drivers,"
fitna gani bana uongo mtupu. gari ni ktk kurahisisha shughulicza binadamu sasa kunacbaya hapo? wapeni wanawake haki zao bana sio kuwabana bana tuuuuuuuuuuNikiendelea na hilo angalizo ni kwamba haijakatazwa mwanamke kuendesha gari moja kwa moja kama nilivyosema awali hapo juu ,bali lazima kwa masharti ili kuondoa uwezekano wa kutokea fitna.
Hiyo barua kwa Hillary ni aibu tupu kwa hawa wanaotaka kuleta fitna Saudia.Kumbe haikuandikwa na wanawake wa Saudia bali na watetezi wao walioko Washington.Halafu wamekosea kabisa lafdhi za uandishi wa malalamiko kutoka kwa muislamu.Hata hao akina Manal walioko Saudia hii barua watahisi imewachafulia badala ya kuwafagilia.
But with more Saudi women defying the driving ban and the call by activists for Mrs Clinton to speak out, it was no longer possible to stay silent.
It's also possible Mrs Clinton gave the Saudis advance notice that her public statement was coming - the issue came up in a conversation on Friday with Saudi Foreign Minister Prince Saud al-Faisal.
The letter, from the Saudi Women for Driving coalition, reads: "Secretary Clinton: quiet diplomacy is not what we need right now. What we need is for you, personally, to make a strong, simple and public statement supporting our right to drive."
.
Supporters say it relieves women of the obligation to drive and also prevents them from leaving home unescorted or travelling with an unrelated male.
Semo semo. Nonda what is going on here?Mkuu Hawa hawana tofauti na kina mama wa Jordan, Egypt au katika nchi ambazo wanaonesha nywele na sura...au unakusudia wanapokuwa "beaches"?