Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,331
- 33,141
Watu huku hata hela ya kula Wali kwa Mchicha hatuna Umeme hatuna na Maji safi hatuna,Watu huku Uarabuni wanatumia Usiku Mmoja zaidi ya Millioni moja Kazi kweli ipo hii Dunia
Bahati mbaya natumia cm sijui ktk hiyo youtube kuna nini. Labda kama unazungumzia DOLA milioni moja inaweza kuwa issue. Kama ni SHILINGI hata sioni cha ajabu
Dolla 1 sawasawa na Riyal ya Saudia 3 tunaweza kusema riyali Millioni 1 sawasawa na dola laki3 na elfu 60 Mkuu.Hii ni maksio yangu.riyal moja ndio dola ngapi?
Umenifurahisha sana mkuu sina hata la kusema zaidi ya Maneno yako hayo nakupa pongeziMajinga utayajua tu, ukiangalia Bill Gates ama the late Steve Jacobs wanahela kama upupu lakini hawafanyi upumbavu huu. Sisi waafrika na warabu ndo malimbukeni wa utajiri. Angalia hata masuperstar black American, wanafanya kufuru ya matumizi mpaka wanatia kichefuchefu.
Majinga utayajua tu, ukiangalia Bill Gates ama the late Steve Jacobs wanahela kama upupu lakini hawafanyi upumbavu huu. Sisi waafrika na warabu ndo malimbukeni wa utajiri. Angalia hata masuperstar black American, wanafanya kufuru ya matumizi mpaka wanatia kichefuchefu.