Saudi man has spend more than 1 million riyals in Dubai Night Club on last week .....

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,861
30,279Watu huku hata hela ya kula Wali kwa Mchicha hatuna Umeme hatuna na Maji safi hatuna,Watu huku Uarabuni wanatumia Usiku Mmoja zaidi ya Millioni moja Kazi kweli ipo hii Dunia
 
Last edited by a moderator:

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,083
630Watu huku hata hela ya kula Wali kwa Mchicha hatuna Umeme hatuna na Maji safi hatuna,Watu huku Uarabuni wanatumia Usiku Mmoja zaidi ya Millioni moja Kazi kweli ipo hii Dunia

Bahati mbaya natumia cm sijui ktk hiyo youtube kuna nini. Labda kama unazungumzia DOLA milioni moja inaweza kuwa issue. Kama ni SHILINGI hata sioni cha ajabu
 
Last edited by a moderator:

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,676
4,301
..The Rich man wealth is in the CITY, THE RIGTHEOUS WEALTH IS IN THIS HOLY PLACE! Bob aliimba
 
Triple G

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
1,921
1,771
Bahati mbaya natumia cm sijui ktk hiyo youtube kuna nini. Labda kama unazungumzia DOLA milioni moja inaweza kuwa issue. Kama ni SHILINGI hata sioni cha ajabu

mkuu riyals ni fedha ndefu kuliko dola na pound..ni kama elfu 4 na kitu kwa pesa za ktz..waarabu wapo juu na pesa yao mkuu..
 
Anko Sam

JF-Expert Member
Jun 30, 2010
3,202
812
Majinga utayajua tu, ukiangalia Bill Gates ama the late Steve Jacobs wanahela kama upupu lakini hawafanyi upumbavu huu. Sisi waafrika na warabu ndo malimbukeni wa utajiri. Angalia hata masuperstar black American, wanafanya kufuru ya matumizi mpaka wanatia kichefuchefu.
 
Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,861
30,279
Majinga utayajua tu, ukiangalia Bill Gates ama the late Steve Jacobs wanahela kama upupu lakini hawafanyi upumbavu huu. Sisi waafrika na warabu ndo malimbukeni wa utajiri. Angalia hata masuperstar black American, wanafanya kufuru ya matumizi mpaka wanatia kichefuchefu.
Umenifurahisha sana mkuu sina hata la kusema zaidi ya Maneno yako hayo nakupa pongezi
 
The Mockingjay

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
380
121
Majinga utayajua tu, ukiangalia Bill Gates ama the late Steve Jacobs wanahela kama upupu lakini hawafanyi upumbavu huu. Sisi waafrika na warabu ndo malimbukeni wa utajiri. Angalia hata masuperstar black American, wanafanya kufuru ya matumizi mpaka wanatia kichefuchefu.

Sio Steve Jacobs ni Steve Jobs. Na kabla hujaanza kuwatukana Warabu na Waafrika, fanya research ushangae utaifa wa biological father wa huyu Steve Jobs. Tena annabahati he was adopted by the jobs family, otherwise na akili zake zile angekuwa kama the late Anwar Al Awlaki.
The point here ni utamaduni wa mtu alivyolelewa na kukuwa, na si kwamba basi akiwa Mwarabu au Mwafrika ndio laana.
Fundisheni watoto wenu maadili mema ili waepuke na hizi kufuru.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom