we ngoja utenguke kiuno kama hukukimbilia kwenye hivyo vifaa,tena utatoa kila aina ya sifa. Waswali mna tabu sana.watakuwa wanaleta udini hawa. wapeleke huko sudan.
Wanajua ubinadamu ni nini, ww baki na akili zako za kukuwatakuwa wanaleta udini hawa. wapeleke huko sudan.
Wanajua ubinadamu ni nini, wewe baki na akili zako za kukuwatakuwa wanaleta udini hawa. wapeleke huko sudan.
watakuwa wanaleta udini hawa. wapeleke huko sudan.
.......
Hii niliona ITV jana kwenye taarifa ya nabari. Kilichonishangaza ni mtangazaji kusema kuwa sasa watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa wataweza kutibiwa nchini kwa kuwa Muhimbili wamepata msaada wa vyombo vyenye thamani ya kama dola laki moja na kitu. Kushangazwa kwangu kunaaanzia kwa kujiuliza kuwa kweli serikali ya Tanzania ilikuwa imeshindwa kupata dola hizo na kununua vyombo hivyo? Ina maana hawa watoto walikuwa wanakufa kwa kukosa vyombo vya upasuaji/matibabu vya dola laki moja? Kwa mawazo yangu, serikali inatumia zaidi ya hizo fedha kwenye mambo mengine yasiyo muhimu. Ni jambo la aibu kuwa kwa sababu tumepokea msaada huo, watoto wetu hawatakufa tena. Pale ambapo tuna uwezo wa kujitegemea tufanye hivyo, ama sivyo tutakuwa tunadharauliwa siku zote!
watakuwa wanaleta udini hawa. wapeleke huko sudan.
watakuwa wanaleta udini hawa. wapeleke huko sudan.
Hii niliona ITV jana kwenye taarifa ya nabari. Kilichonishangaza ni mtangazaji kusema kuwa sasa watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa wataweza kutibiwa nchini kwa kuwa Muhimbili wamepata msaada wa vyombo vyenye thamani ya kama dola laki moja na kitu.
Kushangazwa kwangu kunaaanzia kwa kujiuliza kuwa kweli serikali ya Tanzania ilikuwa imeshindwa kupata dola hizo na kununua vyombo hivyo?
Ina maana hawa watoto walikuwa wanakufa kwa kukosa vyombo vya upasuaji/matibabu vya dola laki moja? Kwa mawazo yangu, serikali inatumia zaidi ya hizo fedha kwenye mambo mengine yasiyo muhimu.
Ni jambo la aibu kuwa kwa sababu tumepokea msaada huo, watoto wetu hawatakufa tena. Pale ambapo tuna uwezo wa kujitegemea tufanye hivyo, ama sivyo tutakuwa tunadharauliwa siku zote!
watakuwa wanaleta udini hawa. wapeleke huko sudan.
kile ni sawa na hasa ukizingatia mfumo uliopo.Na kile chama cha kisiasa cha kikristo cha ujerumani kinapopeleka misaada chadema huwa kinaleta nini?
hapo umenena.Kweli kabisa sio udini tu na ugaidi pia...
Tunataka misaada Kutoka VATICANI,ISRAELI,CDU,UK,USA...
Hawa ndio wanastahili kutupa misaada ... hata ya ushoga tutaipokea tu
Jamaa hili pweza kweli udini kwa kusaidia vingetoka marekani sio udini au itali sasa hv kila kitu udini kweli umesahaulishwa kufanya harakat zenye maana.[/QUOTE
tumezoea vya kutoka kwa wazungu. ila sina uhakika kuhusu ushoga kama tutakuwa tayari kama taifa. hivyo vya kwa waarabu vina majini.
kile ni sawa na hasa ukizingatia mfumo uliopo.