Saudi Arabia the World's 'Third Laziest Country'...

Saudi Arabia the World's 'Third Laziest Country'...

The lowest caste of Arab
I'm not a slave :biggrin:

Mwenye asili anajulikana tu, nyie kama ni makhadimu/watumwa ni nyie tu ndo mana mkawachukia warabu:biggrin:
 
Jibu hoja ya Gaddafi, sijui ni nani mu-arabu kati ya wewe na yeye:


Jibu swali hili:
Ghadafi alikuwa ana asili ya ki Italiano/kiyahudi kujua kiarabu au kutawala nchi ya kiarabu hakijamfanya yeye kuwa mwarab safi hata siku moja...:biggrin:
 
Ghadafi alikuwa ana asili ya ki Italiano/kiyahudi kujua kiarabu au kutawala nchi ya kiarabu hakijamfanya yeye kuwa mwarab safi hata siku moja...:biggrin:

Wadanganye wasiojua historia ya Gaddafi.
 
Tuondokee hapa koko wewe.....


Siyo kama nawatetea waarab, ila tujiangalieni sisi wenyewe watanzania na contribution yetu hapa nchini. Je, ni kweli tunawajibika ama kujituma tuwapo makazini? Na kwanini makampuni mengi hayapendi kuajiri watanzania hapa nchini? Sababu ni nini?
 
I'm not a slave :biggrin:

Mwenye asili anajulikana tu, nyie kama ni makhadimu/watumwa ni nyie tu ndo mana mkawachukia warabu:biggrin:
Hata huko kwenu mnaitwa warabu waswahili.....uarabu huo unaringia ni upi. No one hates anybody my friend, I have got my life.
 
Hata huko kwenu mnaitwa warabu waswahili.....uarabu huo unaringia ni upi. No one hates anybody my friend, I have got my life.
FYI mimi ni katika Masheikh Al Arab hata kama naongea kiswahili, siku zote warabu wanafata kwa baba hawafati kwa mama na hata wakifata kwa mama upande wangu mama ni mwarabu pure ni bibi yake tu ndo alikuwa mwafrika, ndo mana ukaona King Abdullah wa Jordan alikuwa hajui hata kiarabu...lakini anaitwa nani ni King....Kama mimi huwezi kuondoa ukabila wangu na sijaona hata siku moja mwarabu kanidharau mimi:biggrin:

Wanao dharauliwa na wale wanao jidai wao mazinjibar yani wakitwa nyie nani wanasema sisi wazanzibar, badala ya kusema wao warabu, sa unataka warabu wawaite nani si ndo mana wanawaita wazanzibar.

Lakini kunasheria kabisa ya mfalme...mwarabu aliye zaliwa Africa akiwa hapendwi kuitwa vile ana haki ya kushitaki na wakamchukulia hatua aliye muita vile, mwarabu atabaki kuwa mwarabu tu, labda awe hana asili ya kiarabu...Kama alivyo kuwa akisema dingi....Mali asili ni asili tu, na fake ni fake tu :biggrin:

Yani ukiwa mwarabu katika milango ya masheikh utabki kuwa sheikh tu....na ukiwa katika makhadmi utabaki kuwa khadimu tu:A S shade:
 
fazaa, povu la nini....have great weekend.
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe uarabu(uislam_so to speak) umekuathiri isivyo kawaida,..yaani kitu chochote waarabu wakisemwa unatoa mapovu bila hata kupima mizani,...hebu waone walivyo nenepeana na wanavyoangalia huo mchezo kwa uvivu...acha ubishi mkuu

sasa mmeambia ni nchi ya tatu na swaziland ni ya pili nao ni warabu kaaeni mfikirie
 
Sehemu kubwa ya pwani ya bongo ni malazy ile mbaya. Eti wanaiga hao waarabu.
 
C R A P!

I don’t think Saudi men are lazy...wealthy enough to hire live in help to do the things they don’t want to do themselves:biggrin:
Alot of nations are wealthier by far than saudi arabia
 
Kama kipimo kilichotumiwa ni unene tu, unene unaweza kuwa genetic. Au unaweza kutokana na kula sana, sio uvivu.

Wacheza mieleka ya Sumo wanene kichizi, lakini huwezi kusema wavivu.

This sounds like one of those bogus studies.

This is not to say that they (Saudis) are lazy, or are not.

Merely that the reasoning given is sloppy.
Mkuuu ni kwamba hawafanyi mazoezi hao mamwinyi.na vile wanawake.wao hawatoki hata nje ndio kabisaa
 
Back
Top Bottom