Saudi Arabia: The middle east’s real apartheid state

Mwaka jana a Saudi Arabia imewakata vichwa watu wengi kuliko ISIS ilivyofanya Iraq na Syria.
Hapa kwenu mlifuta sheria ya kunyonga kwa kitanzi !?
Anaye nyonga wato 10 na anayekata vichwa watu 50 vichwa wananatofauti !?
 
Wacha watutese tu, sisi Waafrika wenyewe tunabaguana mwanzo mwisho, hatuna umoja na tumejaa uroho, chuki na wivu. Kila mmoja wetu anapothubutu kujitoa, anamiminiwa chuki na majirani. Hadi ile siku sisi weusi tutaweza kujikomboa kiuchumi kwenye bara letu hili lililobarikiwa na kila aina raslimali, hiyo ndio siku tutaheshimiwa hata huko nje.

Dada zetu wanafanyiwa unyama wa kila aina huko uarabuni, wanakwenda baada ya kukosa namna kwenye nchi zao. Halafu la kushangaza hawa Waarabu wanaamini eti dini imewaruhusu kutesa watumwa. Nayo mijitu ya kiafrika inatokwa na povu huku ikiwatetea kwa misingi ya kidini. Tufe wote bloody-hell.
 

kwani huko nako kuna machotara ?
 
well said.
 
Katika nchi za Middle East muda huu tulio nao ni Israel ndio iko juu katika ubaguzi wa rangi na dini hasa dhidi ya watu weusi Falasha wa Ethiopia. Na dhidi ya Wakristo
Kwa lugha nyingine ni kuwa mtoa mda mada yake haina mashiko?
 
Hapa JF uko uzi mfanya kazi wa nyumbani amelawitiwa na bosi wake huyo ni Mtanzania kwa mtanzania mwenzie kuwa objective tukiambiwa waafrika wabaguzi bora tukubali tu. Au Nyani haoni Kundule?
 
so ? its ok yanayofanyika saudi arabia kwa kuwa na kwingine yanafanyika? see? nlisema watakuja wasaudi arabia hapa weusi kuliko mimi ambao watatetea huu ujinga wa kunyonga watu 151 mwaka jana kuanzia jan mpa feb. hizo nchi ulizotaja hakuna nchi ya kikristo hapa. we unaweza nitajia nchi ya kikristo katika hizo? sisi tunakutajia nchi ya kiislamu tena nchi takatifu kama jamaa yangu mmoja ambaye ni msaudia mweusi anavyojinasibu. israel kumkana yesu au masihi hawakuanza leo ni toka miaka 2000 iliyopita kwa kutumia kalenda inayotumika dunia nzima. ni utabiri ambao ulitabiria na ulitokea kwa makusudi kabisa . so hamna ajabu hata wao kuukataa ukristo kwa kuwa wayahudi si waliouleta ukristo na israel si taifa la kikristo hata kidogo. so wanayo madhaifu mengi tu ambayo kama wangekuwa ni nchi ya kikristo tungeshangaa maana kwenye ukristo nasikia kumeandikwa usiue na umpende hata adui yako.
saudi arabia ni nchi yenye kuongozwa kwa misingi ya dini gani? basi kwa nini wawe wabaguzi na wakatili hivi? usa inaongozwa kwa misingi ya dini gani?



 
Soma vizuri kauli yangu nimesema siwaungi mkono Saudia kwa kila uvunjaji haki za Bindamu wanazofanya lakini tuwe wakweli kulaani kila pahali zinapovunjwa haki za Binadam. Nyinyi ndugu zetu muko so biased na agenda ya "Anti- Arab and Islamophobia" huwezi kufumbia jicho uovu hata anao ufanya mdogo wako kama wewe mtu mwenye Integrity.
Hata hivyo mimi siku base jawabu yangu kwa utashi wa kidini na wala sikatai kuwa Saudia inajiita nchi ya Kiislam so hizo USA na Israel ( so called Jewish State) kama si nchi zinazoongozwa kwa misingi udini pia haiwapi right kuuwa Mamilioni ya watu wasio hatia na kuwabaguwa watu kwa misingi ya rangi au dini.
 

Halafu wewe unachekesha kweli ivyo unataka kunambia kuwa Yesu aliwapenda wale Pharisayo waliomhukumu kifo na kumpeleka kwa Pilato. Jamani huu ukasuku utawafikisha wabaya wenzetu

Kwa hivyo kwa kuwa wewe Mkristo yule atakakuja kumbaka dadako au mkeo na au kuuwa mtoto wako utampenda na kumkaribisha nyumbani kwa mauwa na kumkimbatia? Dah hii hatari!

Na kama wayahudi sio walioleta ukristo vipi mnajinasibisha na wao na kuwatukiza na kuwaita eti Taifa teule eti ukiwa huwapendi wayahudi basi Mungu atakulani. Duh!!!
 
Umeporomoka kama unasombwa na maji,suala hapa in saudia na ubaguzi na unyanyasaji WA watumishi wao wasio waarabu,binafsi nimekutana na muhanga mmoja na alichonisimulia kilinifanya nipigwe na mshangao kama hayo yanaweza kufanyika kwenye ardhi takatifu.
 
Wadada wengi huenda kupeleka Aids huko!!
 
Ngoja nikwambie kitu ambacho nadhan wewe unaona ni kigumu sana. Yesu alisisitiza sana Upendo na msamaha. Nadhan kama umewahi kuwasikisikia wakristo Yesu mwenyewe aliomba akisema "UWASAMEHE MAANA HAWALIJUI WALITENDALO" huo ndo msingi wa upendo kuwasamehe wanaokukosea. HIZO HABARI ZA JICHO KWA JICHO jino kwa jino kwa miaka hii pasipo unafiki nani angebaki na viungo hivyo? wewe unayetaka kumchinja mtu kwa sababu ana iman tofaut na wewe au labda amezini unampiga mawe wewe kuna dhambi ngapi umefanya? so hizi ni sheria z kinafiki,kishetani na kizandiki. mataifa ya israel,marekani n.k kama yangekuwa ya kikristo yasingekuwa yanafanya huo uovu unaousema.
kuwa mkristo is kuitwa john. kuwa mkristo ni matendo ya kikristo ambayo yanajengwa na msingi mkubwa wa upendo na kusamehe saba mara sabini. Biblia inasema "msilipe kisasi, iacheni ghadabu ya Mungu maana kisasi ni juu yake" huu ndo msingi wa kikristo na roho ya kikristo.
sasa mimi sitaki kuuongelea uislamu maana hapa si mahali pake ila kaam ukitaka tuongelee hizi dini nzuri kwa kuelimishana na kisomi mi nipo tayari maana naijuia kuran naijua biblia. nitaelezana nawe kwa aya na maelekezo mujarab kuhusiana na aya hizo.
mimi binafsi sina tatizo na uislamu, uhindu,upagan n.k maana kuna damu ya kislamu upande wangu pia. ila napenda kuwaelimisha wale maamuma wasioijua dini ya kikristo na kiislamu pia. acha hawa wanaojiita waislamu au wakristo kwa majina. Mkristo HAUWI, MKRISTO HALIPIZI KISASI, MKRISTO HABAGUWI. akifanya hayo tayari si mkristo. Muislamu anaruhusiwa kuita wengine kafiri,kuwaua "AKIPIGANIA DINI NA KUMPIGANIA MUHAMAD" Hiyo ni haki yake wala siwezi mlaumu ndo uislamu wenyewe toka misingi ya uenezwaji wake na kwa mujibu wa maandiko yake. so siwezi malumu mtu akilipua wengine kwa sababu ya kuwa amepishana nao kiimani. Ni mkristo Mpumbavu ambaye atagombana nawe kwa kuwa umemtukana Yesu na hatokuwa Mkristo hata kidogo.
anayway...ningekupa falsafa zaidi ya dini hizi mbili lakini hapa si mahali pake ndugu yangu. ila ukitaka zaidi mi nipo nimejaa tele huwa napenda niwafundishe vijana mambo haya maana wengi hawayafaham.ukitaka kuuelezewa kuhusu wayahudi ntakuelezea. na wayahudi pia wakristo waliambiwa wawapende, waarabu pia wakristo waliambiwa wawapende, na wazungu pia wapendwe. so haijalishi walimkubali.walimtkana Yesu walimfanyia nini yeye aliacha amri moja kuu PENDANENI. WE HUONI KAMA DUNIA INGEKUWA NZURI KAMA TUNGEPENDANA NA KUSAMEHEANA? KWA Nini tutengeneze dunia yenye watu wenye jicho,mkono guu mmoja mmoja ? eti kulipiza kisasi? KISASI ILIKUJA KUONEKANA NI MPANGO WA SHETANI SIKU ZOTE.





 
Siipendi saudi Arabia. Ila makala yana chumvi sana. Aliyekuwa Balozi wa Saudi Arabia Iran alikuwa mweusi, na sehemu nyingine.
Pia sipendi watu wanaonasibisha utawala Wa Saudia na dini. Utawala wa saudi Arabia ni utawala wa kuwekwa na Waingereza. Wanaitumia dini ili waendelee kutawala. Ndiyo maana sheria zao kali hawazifanyi kwa wana wafalme, ndugu na jamaa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…