Saudi Arabia oil attack drones launched from Iran

Saudi Arabia oil attack drones launched from Iran

Ww mgeni sana na US kumbe. Hadi leo huwajui US wakoje, subiri uone, US awe rafiki na Iran, hiyo ni lugha ya kuwavuta karibu na kuwamalizia mbali. Mbona huelewi lugha ya vita ww
Iran hawezi kuunda urafiki na USA.
Anawatambua wazi hata Hassan Rouhan alisema kuwaambia wazi wananchi wake wamagharibi ikiwemo Marekani si watu wakuwaamini ni mashetani ya kutupwa.
Usitegemee Iran ilainike iingie urafiki na US kma Iraq sahau hilo.

Iran keshajipanga kuwa muda wowote kitanuka na hii vita inaweza ikapoteza usuper power wa US maana itaathiri uchumi wa Marekani kwa kiasi kikubwa.
 
Definitely ila USA wanadai wata-pump reserve oil ku-control price...Mizungu na Waaarabu wanatupeleka watakavyo..
Sidhani maana huko kwao tayari yameshapanda. au isije kuwa ndio kafanya tukio ili auze reserve yake maana inawezekana matenki yake yamejaa alafu hana pa kuweka yale anayoiba Libya
 
Hata saudi nao wazembe sana wawape fedha Israel Israel iwafanyie revenge
Huyu Trump anawaza uchaguzi tuu,kwa matukio ya sasa hivi Bush Jr ndio angekuwa ndie Rais zamani sana ameshakinukisha.
 
Trump kwa vyovyote ni lazima aondolewe madarakani 2020. Yawezekana hizo drones Houthi wameuziwa na CIA. Everything is possible.
Wewe hauwezi kuwachagulia Rais raia wa Marekani kama unaona hafanyi unayoyapenda toroka duniani uende Mars ukaishi Aliens wakutoboe ubongo
 
Saudi Arabia inajiaibisha sana eti waziri wa ulinzi wa nchi unakaa mbele ya television unalialia eti Iran ametushambulia huku ukionesha mabaki ya silaha hii ni aibu kubwa sana.
Kama waziri wa ulinzi unalialia wananchi wa kawaida wafanyaje??
 
Kupigwa na wavaa makobazi ni aibu kubwa sana. Wewe isikie tu. Ila kilicho wazi ni kuwa hapo marekani alizima rada. US wapo kimaslahi zaidi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupigwa na wavaa makobazi ni aibu kubwa sana. Wewe isikie tu. Ila kilicho wazi ni kuwa hapo marekani alizima rada. US wapo kimaslahi zaidi.
Sasa Kama Wapo Kimaslahi Unahisi Atakua Yupo Tayari Kuingia Vitani Na IRAN

US=PAPER TIGER [emoji14][emoji12][emoji14]
 
Back
Top Bottom