Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,083
- 74,511
Nawashangaa wanaoshangaa kwa kushangaa ya Saudi Arabia wakati hata Tanzania sheria iko wazi.
Sent using Infinix S3
1. Wafia dini ni watu wanaojitabanaisha kuwa wanaijua dini kuliko mwanzilishi wake. Wapo ktk dini zote duniani.1.Wafia Dini ndo Kina nani?
2.Kama hauna chuki dhidi ya Uislam, Ukitaka kujua uongozi wa Kiislam upoje basi Msome Khalifa Othman wa Ottoman na Umar bin Khattab. Hapo ndio utajua misingi ya uongozi wa kiislam upoje
Sheria ilishapingwa mahakamani na hata rufaa serikali ilishindwaView attachment 1306276
Nawashangaa wanaoshangaa kwa kishangaa ya Saudi Arabia wakati hata Tanzania sheria iko wazi.
Sent using Infinix S3
Aiseee!Mkuu kwa hilo la Mtume Muhamad (pbuh) na Bibie Aisha wanasema ilikuwa ni exceptional ya Mtume tu. Wengine marufuku. Si unajua hata likitokea jambo la utata akifanya mtume Allah alikuwa anashusha aya kuclarify....Allah knows best
Kwa hiyo wewe binafsi Bwana Utam waweza kuruhusu binti yako mwenye miaka 10 na mwenye uwezo wa kuingiliwa na mwanaume, aolewe?Hoja sio kutulia ama kutotulia Hoja hata kama kafikisha miaka 10 akiwa na uwezo wa kuingiliwa na mwanaume kwa nn asiolewe ?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kuweka hiyo attachment inawezekana nawe umekurupuka.View attachment 1306276
Nawashangaa wanaoshangaa kwa kishangaa ya Saudi Arabia wakati hata Tanzania sheria iko wazi.
Sent using Infinix S3
Upi uongo? hebu tuwekee wazi,maana mii si elewi wewe unaongelea jambo gani.Hicho kibwagizo wanakitumia kuficha uongo wao😀😀
Ukiona wamekwambia hivyo tu jua ni fix hiyo. Hamna kitu hapo uongo tu
kwani tatizo hapa ni Uwezo wa kuingiliwa au tatizo ni ndoa?Binti yako akiwa na Miaka 10 utakua tayari aingiliwe kimwili na mwanume wa Ndoa??
Saudi Arabia na Uislam ni kama kopo na mfuniko. Usipanik mkuu....take it easy.Upi uongo? hebu tuwekee wazi,maana mii si elewi wewe unaongelea jambo gani.
Maa ina sema Serikali ya Saudia,Kuweka sheria ya Mttoto wa kike asiolewe chini ya miaka 18.
Wewe ualeta habari za Mama Aisha,Mke wa Mtumme wetu,na Mama wa Maumini,
Nini hasa inachokilenga hapa?
Nakuhurumia,1. Wafia dini ni watu wanaojitabanaisha kuwa wanaijua dini kuliko mwanzilishi wake. Wapo ktk dini zote duniani.
Kwenye uzi huu ni Waislamu ambao.baadhi ya watu huwaita WAISLAMU WENYE MSIMAMO MKALI! Huku kwetu ni Wanaharakati wale wavaa vipedo ambao kwa mtu asiye muislamu, ni KAFRI na MPAGANI hivyo hastahili kuishi. Ni wale Waislamu wanaotaka Tanzania iwe nchi ya Kiislamu kuliko Saudia ambako Uislam ulianzia. Mfano wake ni wale Maaluni waliokuwa Mkiru. Una swali lingine!
2. Niwe na chuki na Uislamu ili nipate nini! Mi sio Muislamu na sitakaa niwe Muislamu hadi naingia kaburini sasa niuchukie ili iweje! Sina haja ya kuyajua ya Kiislamu na Uongozi wake kwani hayana faida kwangu nikiwa KAFRI & PAGANI. Nachojua ktk Uislam kuna chuki kubwa dhidi ya Watu wasio Waislamu. Kwao ni watu wa kuuliwa au kulipishwa kodi kama wasipokubali kuslimu hivyo mi ni moja ya lengo lao kama ISWAP/BOKO HARAMU walivyowaua Wale Wakristo 10 huku wakiwasamehe Waislamu 2 siku ya Sikukuu ya Kipagani ya Noel.
3. Una hoja zingine?!
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nime kusoma,Saudi Arabia na Uislam ni kama kopo na mfuniko. Usipanik mkuu....take it easy.
Thibitisha kuwa Mungu anaitambua ISLAM kama dini yake. Usilazimishe mambo kwa kutumia kitabu chako unachokiamini.Nakuhurumia,
Usijiwekee mipaka ya kuto taka kuujua uislamu,
Huenda utajasikia siku umepiga hodi nyumbani kwako,na utastaajabu.
Uislamu uliouleza wewe hapa ,ni wa chuki na si ule aliouleta Muhammad (saw).
Nakuita katika dini hii ,kwani elewa
Dini ziko nyingi duniani,
lakini Mwenyezimungu Muumba wa nchi na vilivyomo hazitambui isipokuwa MOJA tuu.nayo ni UISLAMU, zilizobakia zitakuwa batili kwake.
Hata yesu alisema.
Njooni kwangu,mujivike nira yangu,kwani mimi ni MPOLE na MNYENYEKEVU WA MOYO yaani ni ( MUISLAMU) kwa tafsiri yangu.
NJIA ni moja tuu na ndo hiyo Manabii na mitume wa Mungu wote waliyoipita.
Huwezi kuikwepa ikiwa ni mwenye kumuamini Mungu wa kweli.
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMUThibitisha kuwa Mungu anaitambua ISLAM kama dini yake. Usilazimishe mambo kwa kutumia kitabu chako unachokiamini.
Siwezi kuwa Muislamu labda maiti yangu na sio nikiwa hai.
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
KAMA HUTAKI KUUJUA BASI HERI UNGEKAA KIMYA USINGEONGEA KITU AMBACHO HUKIJUI. MAANA KUNA WATU WATAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA1. Wafia dini ni watu wanaojitabanaisha kuwa wanaijua dini kuliko mwanzilishi wake. Wapo ktk dini zote duniani.
Kwenye uzi huu ni Waislamu ambao.baadhi ya watu huwaita WAISLAMU WENYE MSIMAMO MKALI! Huku kwetu ni Wanaharakati wale wavaa vipedo ambao kwa mtu asiye muislamu, ni KAFRI na MPAGANI hivyo hastahili kuishi. Ni wale Waislamu wanaotaka Tanzania iwe nchi ya Kiislamu kuliko Saudia ambako Uislam ulianzia. Mfano wake ni wale Maaluni waliokuwa Mkiru. Una swali lingine!
2. Niwe na chuki na Uislamu ili nipate nini! Mi sio Muislamu na sitakaa niwe Muislamu hadi naingia kaburini sasa niuchukie ili iweje! Sina haja ya kuyajua ya Kiislamu na Uongozi wake kwani hayana faida kwangu nikiwa KAFRI & PAGANI. Nachojua ktk Uislam kuna chuki kubwa dhidi ya Watu wasio Waislamu. Kwao ni watu wa kuuliwa au kulipishwa kodi kama wasipokubali kuslimu hivyo mi ni moja ya lengo lao kama ISWAP/BOKO HARAMU walivyowaua Wale Wakristo 10 huku wakiwasamehe Waislamu 2 siku ya Sikukuu ya Kipagani ya Noel.
3. Una hoja zingine?!
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
"Ni hatua nzuri lakoni Saudia ni taifa lenye kushikilia sana mila.za kikabila na heshima ya familia.Ni hatua nzuri lakoni Saudia ni taifa lenye kushikilia sana mila.za kikabila na heshima ya familia. Je wananchi watakubaliana na hii sheria au ndiyo itabaki kwenye makaratasi bila utekelezaji?
Na dini inasemaje maana inaonekana inapingana na sharia ya kiislam inayotaka binti akivunja ungo tu aruhusiwe kuolewa. Hata hapa nchini kuna baadhi ya hawa ndugu zetu wanaipinga sheria ya ndoa inayotaka mabinti kuolewa na miaka 18
KAMA NI HIVYO KWANINI WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AMBAYE NI MUISLAM ALIKATAA KUSHIRIKIANA NA SAUDIA? SAUDIA IMEBAKI KAMA HOLY PLACE TU LAKINI UONGOZI WAKE SI WA KIUADILIFU.Saudi Arabia na Uislam ni kama kopo na mfuniko. Usipanik mkuu....take it easy.
Mkuu usidanganyike na jina Waziri Mkuu wa Ethiopia Ahmed Abiy ni Mlokole wa kufa mtu. Jina lisikudanganye."Ni hatua nzuri lakoni Saudia ni taifa lenye kushikilia sana mila.za kikabila na heshima ya familia.
KAMA NI HIVYO KWANINI WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA AMBAYE NI MUISLAM ALIKATAA KUSHIRIKIANA NA SAUDIA? SAUDIA IMEBAKI KAMA HOLY PLACE TU LAKINI UONGOZI WAKE SI WA KIUADILIFU.
1.Mfano mwanangu ana miaka tajwa hapo juu na bado anasoma unajua kabisa kama ana sababu maalum inayomfanya asiolewe kwa wakat huo (Nawakat huo huo kama unakuta anasoma na anafanya mapenzi (zinaa) ana maanisha yakwamba anaweza kufanya vyote viwili mnajua mnachukulia mambo simpo sana lkn mnajua mitaani watt wengi sana wanazaa under 18 ina maana kuzalishwa sawa ila kuolewa ndio si sawa nilienda mikoa karibia yote ya kusini mwa tanzania mwaka flan flan hv MKUU Hali Mbaya Sana Kule Watoto Wadogo sana wanazalishwa na wababa hawana time na wanawao mama hamjui baba wa mtt maana anatembea na kila mwanaume wanafunzi walikua wanapewa vidonge vyakuzuia ujauzto shule mpaka zamsingi imagine shule za msingi asilimia 90 ya watt wake ni under 18 ila wengi wao wanabeba mimbaKwa hiyo wewe binafsi Bwana Utam waweza kuruhusu binti yako mwenye miaka 10 na mwenye uwezo wa kuingiliwa na mwanaume, aolewe?
Haki ya mtoto upande wa elimu na masuala mengine i wapi hapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma na nimeelewa je kama mtoto huyo kusoma hasomi na anazurura na vibwana kibao mtaani?!Pamoja na kuweka hiyo attachment inawezekana nawe umekurupuka.
Je umesoma vizuri hapo ilipoandikwa: muhimu?
Sent using Jamii Forums mobile app