Sauda Mwilima umejikoboa umekuwa mbayaaa

Hivi huyu mdada mbona hajipendi! Yaan anavaaga hovyo hovyo kwenye hicho kipindi chake, mi sijawahi kuona akapendeza.

Kuna siku alivaa black juu mpaka chini yaani alitisha. Kama kuna anayemjua jamani ampe ujumbe apendeze, havutii kabisa na wala kipindi chake ni hewa..
 
Hivi huyu mdada mbona hajipendi!yaan anavaaga hovyo hvyo kwenye hicho kipindi chake,mi sijawahi kuona akapendeza
kuna siku alivaa black juu mpka chini yaani alitisha,kma kuna anayemjua jamani ampe ujumbe apendeze ,havutii kabisa n wala kipindi chake ni hewa

inakuhuu we unayependeza unajulikana tax bubu
 
Mapovu yamewatoka umelazimishwa kuchangiia kama umeona halina maana,mxuuueeee na bado mtanyooka tu ndo mkwambie
m ndio naoga napendeza na ndo maana anashauriwa apendezee avae vizuri kama mapresenter wengine,ambaye anaona linamgusa apite kimya
 
Wewe mwenyewe kiatu umekivaa ulipoenda form 1 utajua saa ngap! Anavaa mosurupweta mi jeans imetepweta utafikiri mbibi wa miaka 80, she is a tv presenter, siku hizi wanavalishwa what is wrong with star tv

faida ya kupendeza ni nini si pendeza mwenyewe acha husuda hizo chukua vyeti katafute kazi
 
Sauda hana damu/mwili ya/wa nguo....
Kuna wakati anavaa nguo nzuri sana lakini hapendezi

Sijawahi kuliona hilo kwa huyu dada, hajui kuvaa kabisaaa, yupo yupo tu na mawanja yake sasa, ananichoshaga huyu dada jamani.
 
Tangu nilivyokuona Star Tv mwanzoni ulikuwa na weusi mzuri wa asili. Siku zinavyokwenda umekuwa zaidi ya mzungu, unadhani kuwa mzungu ni ishu.

Jua weusi ukitoka ukirudi ni makovu. Ushamba unawatesa madada wa Tz kama hamkusoma shule. Ujinga ni maradhi.

======



km zamaradi tu;kimwil kidgo miguo hyo kiko flat kifupiiii hata hakipendez
 
Back
Top Bottom