Satellite ya China yapata pigo

Satellite ya China yapata pigo

Satellites Ku fail sio kwa China tu nchi zote unazozifahamu wewe ambazo zina technology za makombora(missiles) na Satellites kuangua ni kawaida sana sababu ni nyingi zikiwemo Engine kufail,Mifumo ya computer Ku fail au Ku fail kwenye separation Nchi ambazo zimefail Mara moja au zaidi
1.US
2.Russia
3.China
4.Europe
5.Japan
6.South Korea
7.North Korea
8.Iran
9.Israel
10.Nk Nk Nk
Mchina wa kiwalani DSM
 
Jinga kweli tena hapo si ajabu ukute una tecno au china made smartphone tena unakuja hapa unafoka foka
yet it doesn't remove the truth that chinese are the leading manufacturer of sub standard electronic products in the world. period.
 
Satellites Ku fail sio kwa China tu nchi zote unazozifahamu wewe ambazo zina technology za makombora(missiles) na Satellites kuangua ni kawaida sana sababu ni nyingi zikiwemo Engine kufail,Mifumo ya computer Ku fail au Ku fail kwenye separation Nchi ambazo zimefail Mara moja au zaidi
1.US
2.Russia
3.China
4.Europe
5.Japan
6.South Korea
7.North Korea
8.Iran
9.Israel
10.Nk Nk Nk
Umesahau ya Chatoo
 
Source
 
Watu wanafikiria ya miaka hamsini ijayo hayo ndio maendeleo sio porojo tuu
 
Habari Nzuri Sana Hii Kwa Wahindi. India Hapa Juzi Kati 'Aliwashikisha Adabu' Washindani Wake Katika Maswala Ya Anga Hasa China Kwa Kutungua Satellite Yao Wenyewe Kwa Kombora (Anti-Satellite). Karibuni Tena Wame-Launch Satellite Nyingine Na Ikawa Successful. Hivi July Tena, ISRO Wamepanga Kurusha Chombo Kingine Kuelekea Mwezini Wenyewe Wanaiita Mission Chandrayaan 2.
 
Sateliti ya China yaanguka
Ni baada ya hatua ya kwanza na ya pili ya urushaji kufanikiwa
24.05.2019 ~ 24.05.2019
Zoezi la kurusha sateliti ya China iitwayo " Yaogan-33 " lafanyika bila mafanikio.
Kwa mujibu wa habari zilizoripotiwa na shirika la habari la Shinhua. Zoezi la kuirusha Sateliti ya Yaogan-33 lilifanyika katika kituo cha anga cha Taiyuen kilichopo jimbo la CangChi .Sateliti hiyo ilirushwa kwa kutumia roketi ya Long March-4C.
Imefahamishwa kwamba, baada ya kurushwa hatua ya kwanza na y a pili zilipita bila mushkeli, ama katika hatua ya tatu ndipo matatizo yalipotokea.
Urushaji huo uliomalizika bila mafanikio uliishia kwa sateliti na mabaki ya roketi kuanguka na kujibamiza ardhini.
Huku uchunguzi ukiwa umeanza kufanywa kuhusu zoezi hilo, habari za kuhusu wapi hasa mabaki ya sateliti hiyo yameangukia hazijatolewa.
Ifikapo mwaka 2045 China inataka kuwa kiongozi katika maeneo ya sateliti za umbuzi wa anga za mbali, ucunguzi katika sayari ya Mars, Jupita, uchunguzi katika mwezi, sateliti kwa ajili ya anwani za kiulimwengu na kujenga kituo cha kudumu cha anga katika orbit.
Tagi: Yaogan 3 , China

Kwa msaada wa mtandao
Mmarekani keshafanya yake
 
Back
Top Bottom